Saasaa sisi tunakaa majimbo full poverty lkn tukifika bumbuli tunashangaa tunajiuliza huku vipi mbona pamechokaa bora kwetuu..huko kwingine kuna nini cha maana? Tuanze na hayo majimbo jirani na Makao makuu ya nchi, mbona ni full Poverty?
Kabadilisha nini? rangi? kuna nini pale? Umasikini umeisha? Kuna Huduma za afya za daraja la juu? Elimu ya pale ni yakupigiwa mfano? ajira vipi? zipo zakutosha?Mara 100 Nchengerwa kabadirisha jimbo kiasi chake
Ulitaka yeye Mbunge afanyeje? kwa muundo wa utawala wa hii nchi unazani hata kama Jimbo halina m umbunge maisha hayaendelei?Saasaa sisi tunakaa majimbo full poverty lkn tukifika bumbuli tunashangaa tunajiuliza huku vipi mbona pamechokaa bora kwetuu..
Wewe ile ya 1990 na 2025 zinafanana, Chalinze na Mchinga ya 1990 na hii ya 2025 chukua picha uone utofauti, halafu 1990 mbali nenda 2015 kuja 2025, kuna mikoa huko machakani imebadirishwa huduma za maji safi, umeme, barabara, huduma za kifedha, ulinzi na usalama, huduma za afya, nk kwa uchache sitaki nitaje shuleKabadilisha nini? rangi? kuna nini pale? Umasikini umeisha? Kuna Huduma za afya za daraja la juu? Elimu ya pale ni yakupigiwa mfano? ajira vipi? zipo zakutosha?
Comment humu zinaonyesha tulivyo na safari ndefu sana, aiseee yaani trilion of years, kuna evolutuin itatokea ituache na huu upumbavu,
Kwahiyo kwa fikra zako katika kumuondoa February ccm wamezingatia kuiepusha Bumbuli kuwa jehanamu, vumbi, jangwa na njaa?Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,
Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.
Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
Serikali ni chombo cha kutendea… yeeye Jukumu lake ni kudai, kusimamia, na kuhakikisha serikali inatekeleza majukumu yake kwa wananchi wa jimbo lake. Hawana maendeleo kwa maana hamna anaye wadaia maendeleo yao.
Kabadilisha kitu gani, naomba unipe dondooMara 100 Nchengerwa kabadirisha jimbo kiasi chake
Story hizo, hivyo vijidaraja yeye anajenga kutokea wapi? Mchinga ni moja ya sehemu duni Tanzania hiiAt least huyo mama amejenga vijidaraja huko mchinga,na kiukweli muda mwingi alikua anaonekana jimboni kwake,japo nae alistahili apumzije sasa
Katika Mawaziri wa Ovyoooo Waliowahi kutokea Awamu hii ya SAMIA suluhu Basi ni huyu Mpumbavu January Makamba, huyu Alitutesa Sana na Mgawo wa Umeme/ huyu Alikuwa na Porojo nyingi na Mjivuni, Alikuwa Anatembelea kivuli Cha Baba yake yule Mzee Comedian Makamba, January ni Mjivuni Sana na Uwezo Hana kabisa Pimbi huyu - Halafu Alikuwa Anautaka Urais WAKATI Uwezo Hana StupidKama hujawahi fika bumbuli unaweza fikiri wanamkashfu mwamba.. funga safari nenda bumbuli alafu njoo ucoment hapa😒😒
Na kwa akili yako timamu unafikiri huyo atakaeingia ataleta maendeleo😂😂😂😂Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,
Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.
Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
Maendeleo huletwa na wewe mwenyewe usitegeme serikaliKati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,
Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.
Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .
😄Na kwa akili yako timamu unafikiri huyo atakaeingia ataleta maendeleo😂😂😂😂
#Akili ni mali
Mbunge ana asilimia yake ya kuleta maendeleo,hata kuorganize wananchi wafanye mchango wajenge vyumba vya shule nayo ni akili za maendeleo, kuna mifano hai wa wabunge wamejenga shule zao hata kama ni private ila wamejenga majimboni kwao,wengine wanajenga mijin nje ya majimbo,halafu unaposema huko juu kwamba barabara na soko basi maendeleo yapi we unayazungumzia?barabara inasaidia wananchi kuingiza mazao sokoni na kifikiwa na wafanyabiashara,kuna wabunge wametafuta wahisani nje ya serikali na wamejenga shule na mengine.Hakuna hata mmoja,shida kubwa nchi ina raia wapumbavu sana na sioni hawa raia wakibadilika labda tupewe miaka trilion 1 mbele.
Majimbo yote yana shisa full, na ni shida za nchi nzima.
Pale tu Dodoma Makao makuu ya nchi si ndio kuna poverty takutisha?
Sijui tufanyeje Hawa watu waelimike. Badala ya kuilalamikia serikali Wana ng,ang,ana na wabunge.Ana Bajet? Yaani ana Executive power ya ku alocate fund kwenda Jimboni? kwani huko kwingine kuna maendeleo gani?
Elimu ni muhimu sana nchi hii
Kwa swali hili kusingekua na haja ya kuwepo wabungeAna Bajet? Yaani ana Executive power ya ku alocate fund kwenda Jimboni? kwani huko kwingine kuna maendeleo gani?
Elimu ni muhimu sana nchi hii
Kati ya mabwege na wewe umo, chama chenyewe hicho kimeleta na kufanya nini? Leo mnaanza kubaguana eti mnasemana, nyie nyote ni matapeli tu hamna mzima wala aliye na nafuuKati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,
Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.
Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .