Kiuhalisia mwanaume anamuamkia mwanamke ambaye si ndugu yake kama tu amemzidi miaka zaidi ya 20 na si chini ya hapo

Sina mood

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
248
Reaction score
1,442
Kama mwanamke amekuzidi miaka si chini ya 20 na sio ndugu yako usimuamkie mwambie tu mambo au za saa hizi imetoka hiyo
Mwanaume wewe ni kiongozi na kusema shikamoo ni kama unamwambia nipo chini yako nakunyenyekea na wanawake ndo wanabidi wawe chini yetu.

Usiamkie we jamaa utakosa mbunye hivi hivi maana utakosa sifa ya uanamme coz hujiamini na umekubali uwe chini ya mwanamke.

Ukitaka kuamini hivyo muwe vijana wawili wa rika moja wewe uamkie halafu mwenzako aseme tu za saa hizi au mambo uone nani atazingatiwa na atachukuliwa kama MWANAUME.
 
Umeongea ukweli Mama alinikataza pia hii tabia ya kuamkia amkia wanawake wengi ni watoto Ila miili inawabeba wanaonekana wakubwa maana wanawake wana miili tu mikubwa na wanawahi kuzeeka kutokana na mazingira Ila wengi ni wadogo kiumri, kuna binti ukimwangalia unamuona km limama fulani hivi nilikua namwamkia siku hio mama akatuita wote akasema wewe unamwamkia huyu wakati huyu ndio anaetakiwa akuamkie wewe, huyu na wewe wewe ndio mkubwa umemzidi miaka 4 huyu kwanini unamwamkia?

Ukimwangalia ni limama Ila ni litoto tu kwangu nikajilaumu sana kwanini nilikua nampa shikamoo toto dogo anirudishie shikamoo zangu
 
Hata kwa miaka kumi namuamkia vizuri tu maana heshima ya ukubwa haiangalii jinsia Ila umri wa mtu. By the way, katika baadhi ya mazingira, wanawake waliokuzidi umri huwa hawakunji roho katika kukupa push ya connection hivyo, wana vingi vya kutoa zaidi ya ngono. Ila kama una ukame mkali kiasi ukiona kila mwenye sketi ni target ya ngono, hilo ni tatizo lako binafsi. Deal with it
 
Kama mwanamke amekuzidi miaka si chini ya 20 na sio ndugu yako usimuamkie mwambie tu mambo au za saa hizi imetoka hiyo
Mwanaume wewe ni kiongozi na kusema shikamoo ni kama unamwambia nipo chini yako nakunyenyekea na wanawake ndo wanabidi wawe chini yetu.

Usiamkie we jamaa utakosa mbunye hivi hivi maana utakosa sifa ya uanamme coz hujiamini na umekubali uwe chini ya mwanamke.

Ukitaka kuamini hivyo muwe vijana wawili wa rika moja wewe uamkie halafu mwenzako aseme tu za saa hizi au mambo uone nani atazingatiwa na atachukuliwa kama MWANAUME.
Huu ni utovu wa nidhamu na imejidhihirisha ulivyosema ukiwa mtu wa salamu utakosa mbunye[emoji23][emoji119]
 
Namwamkia mwanamke mwenye mvi (grand) tu baaaaasssiii! Wengine mtanisamehe nimekuwa addicted na Mashangazi
Jana tu umekuja na uzi wakuwaheshimu wanawake Leo Tena ni wenye mvi tu duh jaman[emoji3]
 
Umeongea ukweli Mama alinikataza pia hii tabia ya kuamkia amkia wanawake wengi ni watoto Ila miili inawabeba wanaonekana wakubwa maana wanawake wana miili tu mikubwa na wanawahi kuzeeka kutokana na mazingira Ila wengi ni wadogo kiumri, kuna binti ukimwangalia unamuona km limama fulani hivi nilikua namwamkia siku hio mama akatuita wote akasema wewe unamwamkia huyu wakati huyu ndio anaetakiwa akuamkie wewe, huyu na wewe wewe ndio mkubwa umemzidi miaka 4 huyu kwanini unamwamkia?

Ukimwangalia ni limama Ila ni litoto tu kwangu nikajilaumu sana kwanini nilikua nampa shikamoo toto dogo anirudishie shikamoo zangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora akurudishie
 
Huu ni utovu wa nidhamu na imejidhihirisha ulivyosema ukiwa mtu wa salamu utakosa mbunye[emoji23][emoji119]
Hizo ni akili za ngono tu, kwani ukimwamkia mtu unapungikiwa Nini, hako katabia kako Sana maeneo ya pwani unakuta mtoto anakusalimia za sahizi na yeye sababu ana tundevu au kaoa basi anajiona ni mzee
 
Back
Top Bottom