Kiuhalisia mwanaume anamuamkia mwanamke ambaye si ndugu yake kama tu amemzidi miaka zaidi ya 20 na si chini ya hapo

Mie mbona huwa nasalimu tu na sipungukiwi na kitu.

Kuna demu ananizidi umri na huwa namsalimu tu na asali ananilambisha kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…