Kuanzia uchaguzi wa 2010 mgombea wa ccm amekuwa akitangazwa mshindi kwa kura za mashaka. Uchaguzi wa 2020 ukageuka kuwa wa kihayawani sana.Ila chaguzi zingine nilizówahi kushuhudia Marais kwa tiketi ya ccm walishinda vizuri tuu
Sijakata tamaa nimepuuza chaguzi za kishenzi.Umeshakata tamaa ???😱
Huna ushahidi wowote zaidi ya porojoMkuu, ninachokuambia ninauhakika nacho
Siongei siasa hapa.
Yaan mm Rais niliemchagua alikua Magufuli kipenzi cha watanzania...Apumzike kwa amaniHabari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.
Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.
NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.
Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.
Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.
Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.
Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.
Acha nipumzike sasa
Wewe ndio unavutia?..Maza pia havutii….
Huna ushahidi wowote zaidi ya porojo
Mkuu JokaKuu hoja ya kwanza ni kwako binafsi sio kwa sisi wengine...sura na maumbile havutii.
..uwezo wa kujenga hoja jukwaani hana.
..matokeo yake amekuwa ni mzigo.
MkimIazimisha Mungu atatenda jambo jambo haraka sanaHuyo hadi 2030
Unamuona nani akishinda?
Taja mpinzani unayemwamini leo hapa halafu nakuletea ccm wanamlipa bei gani, lema ushamsikia anamsema tena makondaSi kweli
Sikuchangia kwa sababu najua Samia hatogombea 2025, siwezi kujadili yasiyokuwepoSawa.
Niliposema Samia hatoboi kwenye Boksi la kura mbona hukusema ni porojo licha ya kuwa sikuweka ushahid?
..sura na maumbile havutii.
..uwezo wa kujenga hoja jukwaani hana.
..matokeo yake amekuwa ni mzigo.
Lema hawezi kujadili watu duni wauajiTaja mpinzani unayemwamini leo hapa halafu nakuletea ccm wanamlipa bei gani, lema ushamsikia anamsema tena makonda
Sikuchangia kwa sababu najua Samia hatogombea 2025, siwezi kujadili yasiyokuwepo
embu amtaje huyo mpinzani makini tucheke sote kwa pamoja kama Taifa 🤣
In DKT JK voice, labda mambo yak…. Hahha si unaona mwezi wa kwanza na mawe na habari maelezo walishamaliza kazi. Dkt Samia hakubaliki ndani ya nchi na nyanja za kimataifa (rejea ushahidi wa barua ya mabalozi kuonewa kodi na msababisha matatizo kujifanya ndiyo mtafuta njia). In short watamuambia tu wahuni ukigombea chama kitashindwa pumzika. Na walishamuandaa kisaikolojia kusema wabunge safari hii hakuna mbeleko na yeye akaishadadia hiyo kauli pasipokujua hata yeye Dkt Samia inamhusu maana yake mgombea wa CCM including kiti cha urais kama hakubaliki mfumo hautambeba na wakiona hizo dalili maana yake mgombea ataenguliwa ili asimame anayekubalika hahaha maana yake kwa sasa wahuni wanakusanya ushahidi tu na tutaona mpaka video za kumkataa Dkt Samia asigombee na hata uchomaji wa picha umeanza. Wahunis siyo watuHabari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.
Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.
NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.
Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.
Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.
Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.
Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.
Acha nipumzike sasa
Ahahahahahahahembu amtaje huyo mpinzani makini tucheke sote kwa pamoja kama Taifa 🤣