Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Hajui hata balanced Diet maanayake au first aid kit ananipaa Nini kichwanii saaa.😀😀
Diwani ni Boss wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui hata balanced Diet maanayake au first aid kit ananipaa Nini kichwanii saaa.😀😀
Diwani ni Boss wako
Na kwenye mabegi je ???😳
hata balanced Diet maanayake au first aid kit ananipaa Nini kichwanii saaa.
Mama , amepewa nchi ikiwa katika kipindi kigumu sana .
Pia upinzani hawana uwezo wa kuitoa Ccm
Mtibeli amehama Africa mbn hajagusia free and fair election.
Mbona mwamba Tundu Lissu yupo?Habari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.
Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.
NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.
Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.
Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.
Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.
Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.
Acha nipumzike sasa
Mitano tena
Kipenda roho kila mtu ana chake. Bi mkubwa ana mvuto kwa upande wangu ingawa kwa kiti cha uraisi hatoshi kabisa.
Upinzani hauna uwezo huo kwa sababu nao ni sehemu ya haohao ccm
Sina uzoefu na awamu ya kwanza ya Mkapa, ya pili kidogo ila nina hakika kwa asilimia zifuatazoUkiacha wakati wa Mkapa awamu ya 2 na Kikwete awamu ya 1, hakuna kipindi kingine CCM walishinda Uchaguzi
Kosa kubwa walilofanya ccm wote kuanza kumsema vibaya magufuli, issue ya bandari ndio ikafanya wananchi wamtoe kabisa vichwani mwao, na wale wsliomlinganisha Rais samia na magufuli ndio walimpoteza kabisa jumla
Upinzani hata wapewe miaka mingine 10 ya kumuandaa mgombea haiwatoshi na hawatopata na hawana
Makonda kwako ndiyo anafaa kuwa rais ?Ila kupunguza zereuuu za CCM inabidi kweli apite mpinzani 2025,Heshima itarudi hata wakija kuchukua nchi.Angalizo,Mbowe hatumtaki,Lisu atulie tunajua nimtu smart lakini Energy ya kazi kubwa kama Urais hataweza.Wamchukue Makonda au Mpina au yeyote hakika nchi wanabeba.
Si kweliHawapati kwa sababu wengi wao ni CCM
Huyo hadi 2030Kishajijua akasema hatogombea
Si kweli