johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya Wananchi bila kujali kama anaingilia Wizara nyingine ama la
Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani Malya angekuwa bado RPC Idodomiya
Mlale Unono 😀😀
Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani Malya angekuwa bado RPC Idodomiya
Mlale Unono 😀😀