Kiukweli Dr Dorothy Gwajima amekuwa kama Waziri wa Mambo ya Ndani kwa namna anavyowatetea Wananchi kwa haraka sana!

Kiukweli Dr Dorothy Gwajima amekuwa kama Waziri wa Mambo ya Ndani kwa namna anavyowatetea Wananchi kwa haraka sana!

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya Wananchi bila kujali kama anaingilia Wizara nyingine ama la

Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani Malya angekuwa bado RPC Idodomiya

Mlale Unono 😀😀
Dada anaheshima na nimetaarabu hata odo wa Tanga nae mtu wa busara sana
 
Huyu mama angefaa Kuwa hata Pm,sema Saa 100 huwa hafanyi kazi na watu waliomzidi uwezo
 
Shida ya CCM ukiwa mchapakazi unatolewa na nafasi yako ebu angalia alichofanyiwa jerry slaa
Yaani ya Jerry Silaa imenishangaza kweli kweli.

Aliiendesha ile wizara Kwa weledi kweli kweli.Lukuvi alikitahidi lakini hakufikia viwango vya Jerry.

Jerry alionesha tofauti ya kusoma hadi chuo Kikuu na kuwa msomi. Alitumia ipasavyo usomi wake.
 
Huyu Mama Gwajima D Ni Waziri Kweli Kweli

Utasikia siku za karibuni kahamishwa na kupelekwa waziri wa mazingira na muungano au kutolewa kabisa katika Baraka la mawaziri kwenye mkeka mpya. Ni waziri pekee anayesikiliza maoni ya wananchi mitandaoni na kuyafanyia kazi.
 
Her quirky personality sometimes veils the depth of her intelligent to an ordinary mind. . .

Dorothy Gwajima ni level nyingine her ascendency from service floor hadi kuwa naibu katibu mkuu TAMISEMI kwake hakukuwa na shortcut amefanya kila role wizara ya afya kiasi kwamba promotion ilikuwa ni uwezo wake.

True reflection of meritocracy product, if only senior civil servants wote wangekuwa wanatengenezwa kama Dorothy Gwajima nchi ingekuwa mbali sana.
 
Wanawake wakaksi kama yeye wanakuwaga na mashine bomba sana. Si unajua Mungu hamnyimi mtu kila kitu.
Heshimu viongozi wako kijana, huo ni ukosefu wa adabu,jikite kwenye hoja iliyopo mezani,na kama huna hoja siyo lazima u comment!!
 
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya Wananchi bila kujali kama anaingilia Wizara nyingine ama la

Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani Malya angekuwa bado RPC Idodomiya

Mlale Unono 😀😀
She's the best.
 
Mungu ambariki huyu waziri, ni miongoni mwa watumishi bora wa umma.
 
Heshimu viongozi wako kijana, huo ni ukosefu wa adabu,jikite kwenye hoja iliyopo mezani,na kama huna hoja siyo lazima u comment!!
Nimempa maua yake au Kiswahili hakipandi utakuwa mrundi wewe.
 
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya Wananchi bila kujali kama anaingilia Wizara nyingine ama la

Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani Malya angekuwa bado RPC Idodomiya

Mlale Unono 😀😀
Muhimu kuna haja ya kufanyika mambo mawili.

Rais abadili maudhui ya jeshi la polisi, kutoka police force kuwa police service. This one matters.

Pili Avenue wizara ya maendeleo ya jamii, na badala yake kitengo cha dawati la jamii polisi kinatosha.

Tatu amuindoe waziri wa mambo ya ndani wa sasa na amteuwe gwajima
 
Back
Top Bottom