Walifanya jambo la kijinga sana ,Hako kameshayatimba hapo ni majutoo
UHALIFU HAULIPI!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walifanya jambo la kijinga sana ,Hako kameshayatimba hapo ni majutoo
UHALIFU HAULIPI!
Na pia mamlaka ya uteuzi haipendi mtu mchapalazi ambaye anaonekana kumu outshine mteuziTatizo kuna washhenzi watakwenda kwa mamlaka za uteuzi wamhamishe ili kumlinda afande
Ajax anatoka hatua ya makundi huyo 😄Hako kafupi msipoangalia katabiringika miguuni hamtakapata
Kafupi kama Peter MsigwaHako kabwana nikafupi kama akili yake
Vijitu vifupi mimi binafsi huniudhi sanaKafupi kama Peter Msigwa
Kurekodi na kusambaza nalo ni kosa kubwa japa halifikii la kubaka na kulawitiAjax anatoka hatua ya makundi huyo 😄
Atasema yeye alirekodi tuu video na kula msuba hakuchomeka
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya Wananchi bila kujali kama anaingilia Wizara nyingine ama la
Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani Malya angekuwa bado RPC Idodomiya
Mlale Unono
Kama Peter Msigwa anavyozingua sasa hivi yaani wanakera kweli kweliVijitu vifupi mimi binafsi huniudhi sana
Jamaa anaweza kuchomokea hapo au kupata adhabu tofauti na wenzakeKurekodi na kusambaza nalo ni kosa kubwa japa halifikii la kubaka na kulawiti
Wanawake wakaksi kama yeye wanakuwaga na mashine bomba sana. Si unajua Mungu hamnyimi mtu kila kitu.Huyu mama hanaga uchawa
So what?Huyo Dorothy ni miongoni mwa majembe yaliyoibuliwa na JPM.
Just imagine unapigwa nyundo kadhaa kisa nyoro!Walifanya jambo la kijinga sana ,
baada ya hapo kitanzi kesho hakuna wa kulalamikaIngekuwa China Kesi ingeendeshwa siku moja tu Kwenye Uwanja wa mpira
Sisi tulio soma urusi huwa tupo upstairs tu sio Gwajima angalia wote tupo makini sanaWaziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya Wananchi bila kujali kama anaingilia Wizara nyingine ama la
Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani Malya angekuwa bado RPC Idodomiya
Mlale Unono 😀😀
Na hilo pia mkaliangalieKiukweli alivyoreact na ile tweet yake,alionyesha ukomavu sana,maana alipata tags nyingi,alikuja na majibu ya kiongozi....... viongozi wa aina yake saizi Bongo wameisha,wengi saizi wanakuwa wanaangalia upepo kwanza......saizi viongozi wengi hawatumii akili zao binafsi kwenye decision making, majority wanafanya mambo kuangalia ataonekanaje mbele ya maboss zake
Aisee nitaliaHalafu muda mfupi utasikia kahamishwa wizara
Tazama wizara ya ardhi mtu akifanya vizuri anaondolewa, sijui huwa ni kwa manufaa ya nani