Kiukweli Dr Dorothy Gwajima amekuwa kama Waziri wa Mambo ya Ndani kwa namna anavyowatetea Wananchi kwa haraka sana!

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya Wananchi bila kujali kama anaingilia Wizara nyingine ama la

Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani Malya angekuwa bado RPC Idodomiya

Mlale Unono
 
Mlale Unono 😀😀
Sisi tulio soma urusi huwa tupo upstairs tu sio Gwajima angalia wote tupo makini sana

USSR
 
Kiukweli alivyoreact na ile tweet yake,alionyesha ukomavu sana,maana alipata tags nyingi,alikuja na majibu ya kiongozi....... viongozi wa aina yake saizi Bongo wameisha,wengi saizi wanakuwa wanaangalia upepo kwanza......saizi viongozi wengi hawatumii akili zao binafsi kwenye decision making, majority wanafanya mambo kuangalia ataonekanaje mbele ya maboss zake
Na hilo pia mkaliangalie
 
Back
Top Bottom