Kiukweli kabisa hii wala sio timu yetu. Timu yetu ameondoka nayo Gamondi

Kiukweli kabisa hii wala sio timu yetu. Timu yetu ameondoka nayo Gamondi

Tulitegemea kuwa na msimu mzuri sana kwenye CL mwaka huu ila viongozi wameuharibu kwa sababu wanazozijua wao.
Lakini unakumbuka kuwa Yanga inafungwaje?😂😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20241116-181034_1.jpg
    Screenshot_20241116-181034_1.jpg
    193.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241203-221155_1.jpg
    Screenshot_20241203-221155_1.jpg
    270.1 KB · Views: 1
viongozi wamekula pesa wanachezaji nao ,huu msimu wetu wamaumivu
 
Hata G angeweza kukandwa tu, ni aibu mmemuondolea.
 
Back
Top Bottom