Yanga hii unaifungaje 🤣🤣🤣🤣🤣Tulitegemea kuwa na msimu mzuri sana kwenye CL mwaka huu ila viongozi wameuharibu kwa sababu wanazozijua wao.
Sasa leo mumuombee njaaa mnyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga hii unaifungaje 🤣🤣🤣🤣🤣Tulitegemea kuwa na msimu mzuri sana kwenye CL mwaka huu ila viongozi wameuharibu kwa sababu wanazozijua wao.
Zingatia leo muangalie ball, matokeo yanakuja baada ya ball kuchakatwa! Sio jana mnaruka ruka tu hamna hata shot on tgt wala off tgtSawa mkuu hii Mimi naweka risiti
SawaZingatia leo muangalie ball, matokeo yanakuja baada ya ball kuchakatwa! Sio jana mnaruka ruka tu hamna hata shot on tgt wala off tgt
😂Bado hamjasema mpka msemeTulitegemea kuwa na msimu mzuri sana kwenye CL mwaka huu ila viongozi wameuharibu kwa sababu wanazozijua wao.
Tutasema baadae😂Bado hamjasema mpka mseme
Kabisa mkuu, tulipowaambia wasojua mpira walitubeza, leo kiko wapi?Yanga ni ya gamondi ila hii ni utopolo mtupu.
Pole mwana YANGA mwenzetu. Tunapitia wakati mgumu sana. Tuendelee ku support team yetu tu. Hakuna namna.Tulitegemea kuwa na msimu mzuri sana kwenye CL mwaka huu ila viongozi wameuharibu kwa sababu wanazozijua wao.
Mimi leo ninaiombea Simba ifunge magoli mengi ili iwe ni funzo zaidi kwetu Yanga. Itakavyozidi kutuuma ndio tutazidi kujifunza.Kwakweli hili limetuumiza sana wananchi.....na Leo MBUMBUMBU wakishinda, moyo UTARARUKA vibaya sana.
Kijana sikuonagi kwenye jukwaa la chelseaKumfuta Gamond ilikuwa kosa kubwa sana ambalo viongozi wetu walifanya, huyu mandevu hawajui wachezaji wala haelewi wanahitaji mfumo gan kuendana na vipaji vyao!
Hili kosa tulifanya chelsea kwa kuweka makocha wasioendana na characteristics za wachezaji kosa hili naliona kwa yanga, msimu huu hata kombe la mbuz hatuchukui kummmkkkk🚮
Mkuu viongozi wetu walilewa sifa kiasi waliamini wao ni kama malaika, mwisho wa siku ndio haya.Tulitegemea kuwa na msimu mzuri sana kwenye CL mwaka huu ila viongozi wameuharibu kwa sababu wanazozijua wao.
Wataendelea kubeza ila timu ishajichokeaKabisa mkuu, tulipowaambia wasojua mpira walitubeza, leo kiko wapi?
INAUMIZA SANA.
Hamna kocha mule, ndio maana hata huko alikotoka (Tx galax) pia kaacha majanga.Itoshe kusema wana utopolo wenzangu Germany machine tumesajili gobole
kocha gani anaitwa Saidi Ramadhani?Yule ni side masuti aka makabati hamna kocha mule