Sifa za marehemuKanumba alikuwa super star kuliko wasanii wa sanaa zote hapa nchini kama maigizo, mpira, muziki n.k.
Enzi za uhai wake alikuwa ni kipenzi cha wanawake na watoto wote na hakuwa na mpinzani na hana mpinzani hadi sasa.
ndio ashasahaulika hivoRIP Steven Kanumba
Ni kweli mkuuAisee, miaka 12 leo imetimia…
ndio ashasahaulika hivo
Si nasikia kuna jua kali sijui jua baridi nayo ina wasanii wakaliJapokua mimi Sijawahi kua shabiki wa "bongo movie" hata kidogo lakini yule jamaa alikua ana nyota ya umaarufu Sana, yani humfatilii lakini habari zake zinakufuata huko huko uliko tofauti na sasa hivi hakuna "mbongo movie" ninaekuta taarifa zake kwenye mitandao ni kama jamaa alikufa na "bongo movie" yake
Dkt John MagufuliKwenye hii dunia,kuna watu wachache sana duniani hawatakuja kupata replacement mpaka dunia inafika mwishoni.
1.Michael jackson
2..Messi
3.Tupac
4.shahrukh khan
5.Thomas sankara
6.kanumba