Kiukweli mambo yanaenda kasi sana, Dar bila Makonda wananchi wameshazoea CHADEMA mwendo mdundo

Kiukweli mambo yanaenda kasi sana, Dar bila Makonda wananchi wameshazoea CHADEMA mwendo mdundo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Tulikuwa na Dar ya Mhaville, Dar ya Chipungahelo, Dar ya Makamba, Dar ya Kandoro, Dar ya Lukuvi, Dar ya Sadik na hatimaye Dar ya Makonda zote zimepita na maisha yanaendelea.

Kwa sasa tunashuhudia maboresho ya kisiasa wapinzani wanadunda kama kawa ndani ya mfumo wa vyama vingi tofauti na juzikati tulivyoishi kama vile ni nchi ya chama kimoja.

Tundu Lisu ana bahati sana kurejea nyakati hizi za Abuu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mpango wa Mungu haujawahi kushindwa. Tangu zama za kale za kina nabii Mussa na wana wa Israel , Yona wa Ninawi, Daniel, Daudi mfalme toka familia ya Yesse, Yakobo, Ibrahim, nabii Elia na kina Paulo na Asila!!

Liisu ni mlango tu, ndani yake lipo NENO kinakuja. Hapo ndipo utashuhudia ukuu wa Mungu.
 
Hivi Makonda ndio alipiga marufuku mikutano ya kisiasa nchi nzima?

Japo simkubali Makonda, lakini katika hili, tusimsingizie kwani alikuwa anasimamia utekelezaji wa maagizo kutoka juu.
Nani ametaja mikutano bwashee?
 
Kuna video nimeona Rais kakataa kumpa mkono sijui anamaanisha nini?
 
Mpango wa Mungu haujawahi kushindwa. Tangu zama za kale za kina nabii Mussa, Yona wa Ninawi, Daniel, Daudi mfalme toka familia ya Yesse, Yakobo, Ibrahim na Elia.

Liisu ni mlango tu, ndani yake lipo NENO kinakuja, hapo ndipo utashuhudia ukuu wa Mungu.
Mungu kwenye siasa za kuwagawa watu?
 
Back
Top Bottom