MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,758
- 6,692
Kiukweli hata mimi nimetokea kumchukia mzee baba kwa sababu ya Bashite
Kwani Makonda aliwafanya nini watu wa Dar?Tulikuwa na Dar ya Mhaville, Dar ya Chipungahelo, Dar ya Makamba, Dar ya Kandoro, Dar ya Lukuvi, Dar ya Sadik na hatimaye Dar ya Makonda zote zimepita na maisha yanaendelea.
Kwa sasa tunashuhudia maboresho ya kisiasa wapinzani wanadunda kama kawa ndani ya mfumo wa vyama vingi tofauti na juzikati tulivyoishi kama vile ni nchi ya chama kimoja.
Tundu Lisu ana bahati sana kurejea nyakati hizi za Abuu.
Maendeleo hayana vyama!
Aliwakosea adabuKwani Makonda aliwafanya nini watu wa Dar?
Basi sasa utampenda!Kiukweli hata mimi nimetokea kumchukia mzee baba kwa sababu ya Bashite
Makonda angeamshaamsha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]LAKINI TUSEME LA UKWELI DAR IMEKUWA BARDIIIIIIIIII UTADHANI HAKUNA UONGOZI.HATA KWENYE MAZINGIRA YA MSIBA WANANCHI HATUAMBIWI NA MAMLAKA MSAFARA UTAPITA VIPI NA WAPI KATKA KUMUAGA MPENDWA WETU.YAANI HAKUNA TAMKO.TOKA ATEULIWE HATUMJUI NA HATUMUONI HATA KWENYE TV AU KUMSIKIA KUNAKO REDIO.JAMANIEEEE,DAR ES SALAAM BADO !!!!!!!
Hahahaha pamoja Sana bwasheeNini wanzuki hata ile kisusio natumia bwashee!
LAKINI TUSEME LA UKWELI DAR IMEKUWA BARDIIIIIIIIII UTADHANI HAKUNA UONGOZI.HATA KWENYE MAZINGIRA YA MSIBA WANANCHI HATUAMBIWI NA MAMLAKA MSAFARA UTAPITA VIPI NA WAPI KATKA KUMUAGA MPENDWA WETU.YAANI HAKUNA TAMKO.TOKA ATEULIWE HATUMJUI NA HATUMUONI HATA KWENYE TV AU KUMSIKIA KUNAKO REDIO.JAMANIEEEE,DAR ES SALAAM BADO !!!!!!!
Nani?Kuna video nimeona Rais kakataa kumpa mkono sijui anamaanisha nini?
Tupia video tujionee wenyeweKuna video nimeona Rais kakataa kumpa mkono sijui anamaanisha nini?
Lawrance GamaMary Chips[emoji1][emoji1]..... mama aliinyoosha Dar huyu
Ila unewasahau
Mustapha Songambele,John Mhavile,Ditopile Mzuzuri na Christopher Lihundi
HakikaNyakati za Hitler nayo iliwahi kuja na ikapita, hivyo chini ya jua hakuna jambo la kudumu vyote vinapita japo kwa maumivu.
MUNGU ni FUNDI kulikuwa na Mungu mtu akawafanya watu wote wamtetemekee na kumsujudu Kama kawaumba yeye leo yupo wapi? Hakika MUNGU ni FundiTulikuwa na Dar ya Mhaville, Dar ya Chipungahelo, Dar ya Makamba, Dar ya Kandoro, Dar ya Lukuvi, Dar ya Sadik na hatimaye Dar ya Makonda zote zimepita na maisha yanaendelea.
Kwa sasa tunashuhudia maboresho ya kisiasa wapinzani wanadunda kama kawa ndani ya mfumo wa vyama vingi tofauti na juzikati tulivyoishi kama vile ni nchi ya chama kimoja.
Tundu Lisu ana bahati sana kurejea nyakati hizi za Abuu.
Maendeleo hayana vyama!