johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mbowe umemuona?Mataga tuko msibani banaa, mbona mnaweweseka? naangalia TV simuoni rais hapa mbele kumetokea nini?
Nani ametaja mikutano bwashee?Hivi Makonda ndio alipiga marufuku mikutano ya kisiasa nchi nzima?
Japo simkubali Makonda, lakini katika hili, tusimsingizie kwani alikuwa anasimamia utekelezaji wa maagizo kutoka juu.
Wewe ndio humuoni!Rais haonekani msibani aaaah
Sikua namuona mwanzo bhana, but sorry.Wewe ndio humuoni!
Mungu kwenye siasa za kuwagawa watu?Mpango wa Mungu haujawahi kushindwa. Tangu zama za kale za kina nabii Mussa, Yona wa Ninawi, Daniel, Daudi mfalme toka familia ya Yesse, Yakobo, Ibrahim na Elia.
Liisu ni mlango tu, ndani yake lipo NENO kinakuja, hapo ndipo utashuhudia ukuu wa Mungu.
Misiba ya kusini ni tofauti na ya huko kaskazini bwashee. Hapa hatunywi mbege!Ushakula bia zako basi unabwatuka tu
Aide ingekuwa huku rombo tungekuwa tunatembea na matumbo sa hiiMisiba ya kusini ni tofauti na ya huko kaskazini bwashee. Hapa hatunywi mbege!
Binafsi Tundu Antipas Lisu namkubali sana bwashee!johnthebaptist,
Jo roho inakuuma kama nini kuona Lissu karudi bukheri wa afya na hajakamatwa na CHADEMA iko imara zaidi, imara kulko wakati mwingine wowote.