Kiukweli mambo yanaenda kasi sana, Dar bila Makonda wananchi wameshazoea CHADEMA mwendo mdundo

Kwani Makonda aliwafanya nini watu wa Dar?
 
Naona watu wamemiss amshaamsha za makonda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Makonda angeamshaamsha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
 
Mary Chips[emoji1][emoji1]..... mama aliinyoosha Dar huyu

Ila unewasahau

Mustapha Songambele,John Mhavile,Ditopile Mzuzuri na Christopher Lihundi
Lawrance Gama
 
MUNGU ni FUNDI kulikuwa na Mungu mtu akawafanya watu wote wamtetemekee na kumsujudu Kama kawaumba yeye leo yupo wapi? Hakika MUNGU ni Fundi

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…