Kiukweli natamani sana kuishi maisha bila ya watu kunishangaa na kuniuliza kwanini

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
"No one judge me"

Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo ambayo natamani niyafanye kwa uhuru wote na kwa kujiachia kabisa.

Binafsi mimi ni mtoa huduma za Afya katika kijiji fulani (jina kapuni), naishi maisha mazuri tu lakini kuna unyama flani hivi naona napungukiwa au naukosa kabisa na ninautamani sana.

Mimi ni mkristo mwenye imani kweli kweli (kwa ufupi namjua Mungu, kwa kusoma mwenyewe siyo kuhubiriwa tu), vipawa (karama) nilivyozaliwa navyo ni;
1. Kutibu mgonjwa kwa kumpa dawa.
2. Upelelezi (spy).
3. Mshauri wa mambo ya mahusiano.

Hivyo vitatu ni vipaji vyangu, sasa huwa najiuliza sana unawezaje kuwa mshahuri wa mambo ya mahusiano angali wewe mwenyewe huwajui wasichana vizuri au hujui mapenzi? Hapo majibu ni mapenzi nayajua kweli kweli, na kudate huku na huku ni vitu vinanikuta tu ili nipate ujuzi zaidi wa kipaji changu, lakini binafsi siyo malaya ni kijana muwazi na mkweli.

Basi huwa natamani kufanya haya mambo machache kwa uhuru bila mtu kunifikiria vibaya kwa lolote, kusiharbu heshima yangu wala kusiharibu wadhifa wangu kama mfano upande wa kanisani, mimi ni mwalimu mzuri wa neno la Mungu.

Napenda;
1. Music wa dance na mapenzi (inshort mziki wowote mzuri) mnaelewa (namkubali Ruger).

2. Siyo tu kusikiliza napenda na kucheza pia, sitaki tu kucheza ndani geto nataka nicheze hata nje, nikiwa church, harusini na hata bar.

3. Natumia beer🍺

4. Jani la Bob Marley

5. I love ❤ 😍 💖 ❣ Drama, napenda mapenzI aisee na mwanamke with beautiful heart. Mimi nampendea mwanamke moyo wake, uwe jasiri na mwenye hisia za kutosha na mimi.

Shida hayo yote juu naona yanigombanisha na jamii yangu, watu watanijaji vibaya.

6. Napenda kuvaa nguo nyepesi hasa hiki kipindi cha joto, sipendi kuvaa machomeko muda wote, pensi (vinjunga) vyetu vile vya special najua wahuni mnavijua.

7. Natamani siku moja moja navaa kama Wizkid, nawaka na maunyama mengi kabisa.

8. Natamani niwe na girlfriend natembea naye barabarani kama vile tupo London, namkumbatia na kumkiss tu muda wowote ninaotaka hata mbele za watu.

9. Nile chochote ninachojisikia na wanakijiji wasinishangae.

Kiukweli ni vingi navyotamani, sitaki kufanya hayo yote kwa kujificha ficha.

All in all, Mungu ni mwema tunaishi tu, na tunazidi kumtumikia.
 
"No one judge me"

Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo ambayo natamani niyafanye kwa uhuru wote na kwa kujiachia kabisa.
You are just a confused guy, still under going psychomotor development, nothing else.
 
4. Jani la Bob Marley
Mawazo mazuri.
Ila huu uzi kama vile umeuandika ukiwa 'HIGH'

Btw, unapofanya mambo yako usijali sana watu watasemaje...muhimu focus kwenye malengo uliyojiwekea.
 
Umesema upo Kijiji gani.sikutakii mabaya good luck to all your wishes,but chunga walimwengu,hata kama u kifanya for good intention na utaki ubaya na mtu ,bado walimwengu watakuloga jaman wasema wewe unaringa....
 
"No one judge me"

Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo ambayo natamani niyafanye kwa uhuru wote na kwa kujiachia kabisa.

Binafsi mimi ni mtoa huduma za Afya katika kijiji fulani (jina kapuni), naishi maisha mazuri tu lakini kuna unyama flani hivi naona napungukiwa au naukosa kabisa na ninautamani sana.

Mimi ni mkristo mwenye imani kweli kweli (kwa ufupi namjua Mungu, kwa kusoma mwenyewe siyo kuhubiriwa tu), vipawa (karama) nilivyozaliwa navyo ni;
1. Kutibu mgonjwa kwa kumpa dawa.
2. Upelelezi (spy).
3. Mshauri wa mambo ya mahusiano.

Hivyo vitatu ni vipaji vyangu, sasa huwa najiuliza sana unawezaje kuwa mshahuri wa mambo ya mahusiano angali wewe mwenyewe huwajui wasichana vizuri au hujui mapenzi? Hapo majibu ni mapenzi nayajua kweli kweli, na kudate huku na huku ni vitu vinanikuta tu ili nipate ujuzi zaidi wa kipaji changu, lakini binafsi siyo mara ni kijana muwazi na mkweli.

Basi huwa natamani kufanya haya mambo machache kwa uhuru bila mtu kunifikiria vibaya kwa lolote, kusiharbu heshima yangu wala kusiharibu wadhifa wangu kama mfano upande wa kanisani, mimi ni mwalimu mzuri wa neno la Mungu.

Napenda;
1. Music wa dance na mapenzi (inshort mziki wowote mzuri) mnaelewa (namkubali Ruger).

2. Siyo tu kusikiliza napenda na kucheza pia, sitaki tu kucheza ndani geto nataka nicheze hata nje, nikiwa church, harusini na hata bar.

3. Natumia beer🍺

4. Jani la Bob Marley

5. I love ❤ 😍 💖 ❣ Drama, napenda mapenzI aisee na mwanamke with beautiful heart. Mimi nampendea mwanamke moyo wake, uwe jasiri na mwenye hisia za kutosha na mimi.

Shida hayo yote juu naona yanigombanisha na jamii yangu, watu watanijaji vibaya.

6. Napenda kuvaa nguo nyepesi hasa hiki kipindi cha joto, sipendi kuvaa machomeko muda wote, pensi (vinjunga) vyetu vile vya special najua wahuni mnavijua.

7. Natamani siku moja moja navaa kama Wizkid, nawaka na maunyama mengi kabisa.

8. Natamani niwe na girlfriend natembea naye barabarani kama vile tupo London, namkumbatia na kumkiss tu muda wowote ninaotaka hata mbele za watu.

9. Nile chochote ninachojisikia na wanakijiji wasinishangae.

Kiukweli ni vingi navyotamani, sitaki kufanya hayo yote kwa kujificha ficha.

All in all, Mungu ni mwema tunaishi tu, na tunazidi kumtumikia.
Mkuu nenda America hakun atakaekujudge
 
We only live once. Don't be afraid to do what you want to do even if you won't do people they always judge you.
 
Ukitaka uishi vizur vijijini kuwa karibu na wazee wa Kijiji ndio wamiliki wa Kijiji ila ukiwaleta mbanga wazee wa Kijiji hutoboi
 
"No one judge me"

Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo ambayo natamani niyafanye kwa uhuru wote na kwa kujiachia kabisa.

Binafsi mimi ni mtoa huduma za Afya katika kijiji fulani (jina kapuni), naishi maisha mazuri tu lakini kuna unyama flani hivi naona napungukiwa au naukosa kabisa na ninautamani sana.

Mimi ni mkristo mwenye imani kweli kweli (kwa ufupi namjua Mungu, kwa kusoma mwenyewe siyo kuhubiriwa tu), vipawa (karama) nilivyozaliwa navyo ni;
1. Kutibu mgonjwa kwa kumpa dawa.
2. Upelelezi (spy).
3. Mshauri wa mambo ya mahusiano.

Hivyo vitatu ni vipaji vyangu, sasa huwa najiuliza sana unawezaje kuwa mshahuri wa mambo ya mahusiano angali wewe mwenyewe huwajui wasichana vizuri au hujui mapenzi? Hapo majibu ni mapenzi nayajua kweli kweli, na kudate huku na huku ni vitu vinanikuta tu ili nipate ujuzi zaidi wa kipaji changu, lakini binafsi siyo mara ni kijana muwazi na mkweli.

Basi huwa natamani kufanya haya mambo machache kwa uhuru bila mtu kunifikiria vibaya kwa lolote, kusiharbu heshima yangu wala kusiharibu wadhifa wangu kama mfano upande wa kanisani, mimi ni mwalimu mzuri wa neno la Mungu.

Napenda;
1. Music wa dance na mapenzi (inshort mziki wowote mzuri) mnaelewa (namkubali Ruger).

2. Siyo tu kusikiliza napenda na kucheza pia, sitaki tu kucheza ndani geto nataka nicheze hata nje, nikiwa church, harusini na hata bar.

3. Natumia beer[emoji481]

4. Jani la Bob Marley

5. I love [emoji173] [emoji7] [emoji178] [emoji873] Drama, napenda mapenzI aisee na mwanamke with beautiful heart. Mimi nampendea mwanamke moyo wake, uwe jasiri na mwenye hisia za kutosha na mimi.

Shida hayo yote juu naona yanigombanisha na jamii yangu, watu watanijaji vibaya.

6. Napenda kuvaa nguo nyepesi hasa hiki kipindi cha joto, sipendi kuvaa machomeko muda wote, pensi (vinjunga) vyetu vile vya special najua wahuni mnavijua.

7. Natamani siku moja moja navaa kama Wizkid, nawaka na maunyama mengi kabisa.

8. Natamani niwe na girlfriend natembea naye barabarani kama vile tupo London, namkumbatia na kumkiss tu muda wowote ninaotaka hata mbele za watu.

9. Nile chochote ninachojisikia na wanakijiji wasinishangae.

Kiukweli ni vingi navyotamani, sitaki kufanya hayo yote kwa kujificha ficha.

All in all, Mungu ni mwema tunaishi tu, na tunazidi kumtumikia.
Unajishtukia tu watu hawana hata mda na wewe. Mi mwenyewe nilikuwa na wasiwasi sana kwenda club na kunywa bia, watu wanaonijua wakiniona je itakuwaje? hadi sometimes nikiwa club nashindwa kuwa comfortable. Ila saivi nimejitoa akili nafanya tu hadharani bila shida na sioni tatizo lolote kwenye jamii inayonizunguka
 
Wewe jilipue fanya tu ili mradi hauvunji sheria.
Au kama vipi hama nchi
 
Umesema upo Kijiji gani.sikutakii mabaya good luck to all your wishes,but chunga walimwengu,hata kama u kifanya for good intention na utaki ubaya na mtu ,bado walimwengu watakuloga jaman wasema wewe unaringa....
Kulogwa ndio kitu haita kaa initokee maisha yote.

mimi hata jini liniyokee muda wowote, nakwambia litaomba poo
 
Tafuta sana pesa ,kiufupi huna pesa ,ukiwa na pesa hakuna kitu utaogopa kufanya et kisa unaogopa jamii ,ila jamii itakubali Kila unalofanya....
Ngoja niendelee kutafuta mtonyo sasa ninunue plot yangu kubwa kabisa.
 
Back
Top Bottom