Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiufupi acha kwanza bangi"No one judge me"
Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo ambayo natamani niyafanye kwa uhuru wote na kwa kujiachia kabisa.
Binafsi mimi ni mtoa huduma za Afya katika kijiji fulani (jina kapuni), naishi maisha mazuri tu lakini kuna unyama flani hivi naona napungukiwa au naukosa kabisa na ninautamani sana.
Mimi ni mkristo mwenye imani kweli kweli (kwa ufupi namjua Mungu, kwa kusoma mwenyewe siyo kuhubiriwa tu), vipawa (karama) nilivyozaliwa navyo ni;
1. Kutibu mgonjwa kwa kumpa dawa.
2. Upelelezi (spy).
3. Mshauri wa mambo ya mahusiano.
Hivyo vitatu ni vipaji vyangu, sasa huwa najiuliza sana unawezaje kuwa mshahuri wa mambo ya mahusiano angali wewe mwenyewe huwajui wasichana vizuri au hujui mapenzi? Hapo majibu ni mapenzi nayajua kweli kweli, na kudate huku na huku ni vitu vinanikuta tu ili nipate ujuzi zaidi wa kipaji changu, lakini binafsi siyo malaya ni kijana muwazi na mkweli.
Basi huwa natamani kufanya haya mambo machache kwa uhuru bila mtu kunifikiria vibaya kwa lolote, kusiharbu heshima yangu wala kusiharibu wadhifa wangu kama mfano upande wa kanisani, mimi ni mwalimu mzuri wa neno la Mungu.
Napenda;
1. Music wa dance na mapenzi (inshort mziki wowote mzuri) mnaelewa (namkubali Ruger).
2. Siyo tu kusikiliza napenda na kucheza pia, sitaki tu kucheza ndani geto nataka nicheze hata nje, nikiwa church, harusini na hata bar.
3. Natumia beer[emoji481]
4. Jani la Bob Marley
5. I love [emoji173] [emoji7] [emoji178] [emoji873] Drama, napenda mapenzI aisee na mwanamke with beautiful heart. Mimi nampendea mwanamke moyo wake, uwe jasiri na mwenye hisia za kutosha na mimi.
Shida hayo yote juu naona yanigombanisha na jamii yangu, watu watanijaji vibaya.
6. Napenda kuvaa nguo nyepesi hasa hiki kipindi cha joto, sipendi kuvaa machomeko muda wote, pensi (vinjunga) vyetu vile vya special najua wahuni mnavijua.
7. Natamani siku moja moja navaa kama Wizkid, nawaka na maunyama mengi kabisa.
8. Natamani niwe na girlfriend natembea naye barabarani kama vile tupo London, namkumbatia na kumkiss tu muda wowote ninaotaka hata mbele za watu.
9. Nile chochote ninachojisikia na wanakijiji wasinishangae.
Kiukweli ni vingi navyotamani, sitaki kufanya hayo yote kwa kujificha ficha.
All in all, Mungu ni mwema tunaishi tu, na tunazidi kumtumikia.
Fanya mchakato hamia kijiji hiki nilipo maana waweza kuwa unakosa kampani ya watu kama wewe."No one judge me"

[emoji38][emoji38] well said..Kulogwa ndio kitu haita kaa initokee maisha yote.
mimi hata jini liniyokee muda wowote, nakwambia litaomba poo
Tehe tehe teheSiachi