Kiukweli natamani sana kuishi maisha bila ya watu kunishangaa na kuniuliza kwanini

Ukitaka uishi vizur vijijini kuwa karibu na wazee wa Kijiji ndio wamiliki wa Kijiji ila ukiwaleta mbanga wazee wa Kijiji hutoboi
Wazee wananipa heshima sana, mafala ni vijana wenzangu ndo wanaleta habar nyeusi sometimes
 
Ndiyo maisha uliyoyachagua hutakiwi kuangalia Binadamu watakuona vipi.
 
Kiufupi acha kwanza bangi
 
Fanya mchakato hamia kijiji hiki nilipo maana waweza kuwa unakosa kampani ya watu kama wewe.
 
Fanya chochote kitakachokupa furaha na amani ya moyo wako bt make sure whatever you doesn't interfere with other people's lives.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…