Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongelea utegemezi wa nini?kwamba hawategemei nje sio
Wakenya wametuzidi kiuchumi
Wametuzidi kwa viwanda
Wametuzidi kwa exposure
Wametuzidi kwa kujitambua
Wametuzidi kwa Utajiri
Wametuzidi kwa ujasiri wa kwenda nchi za nje.
Fact!
Sio kwamba wametuzidi ila sisi wenyew hatujiamini halafu tumekuwa wanafki.habari za wakati huu,leo nimeamua niulize tu labda itaondoa utata kidogo.
kumekua na tendency ya wakenya kujiona wapo juu kwa kila kitu kuliko Tanzania.
tuongee fact wakenya walichoizid tanzania ni kipi?
View attachment 1510359
umenena fact mkuu.Sio kwamba wametuzidi ila sisi wenyew hatujiamini halafu tumekuwa wanafki.
Usipojiamini ww mwenyewe hakuna atakayekuamini. Huku mitandaoni watanzania kila kukicha wanatukana na kudharau viongozi wao lakn hilo Kwa wenzetu hulioni. Hata kama wanakosoa wanakosoa Kwa akili na hekima.
Chukulia mfano kwenye corona. Wakenya wakitoa ripoti kuwa wanawagonjwa 10 watanzania wanasifia kuwa hao wamesema ukweli lakn huku Tanzania wakisema wanawagonjwa 8 watanzania wanaanza kukejeli kuwa wanaficha taarifa.
Wakenya wametuzidi kiuchumi
Wametuzidi kwa viwanda
Wametuzidi kwa exposure
Wametuzidi kwa kujitambua
Wametuzidi kwa Utajiri
Wametuzidi kwa ujasiri wa kwenda nchi za nje.
fact mkuu hawa watu tuna wa overrate thats why wanatuosheaMweee unatumia nguvu nyingi kihisia......unaposema wametuzidi KUJITAMBUA NA UPEO SI KWELI.....
Nimesoma nao,nimedeal nao kimaisha.Nakiri kusema wanatushinda kwenye UJANJAUJANJA na dili za magumashi...