Kiukweli Wanachadema walimtia aibu Mwenyekiti Mbowe

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Habari za weekend!

Polisi na serikali kitakuwa NI kichaka tuu cha Kutoa Lawama lakini ukweli wa wazi NI kuwa, Wanachadema wamemtia aibu Mbowe.

Haiwezeniki Mwenyekiti atoe la namna Ile. Mpaka anasema kama akikamatwa au akiuawa muendelee na maandamano alafu Siku ya tukio mkamkimbia.

Nimejaribu kujishawishi lakini imeshindikana.

Tuachane na wanachama WA kawaida wa CHADEMA. Hivi viongozi WA CHADEMA wôte nchi nzima wangeamua kumuunga Mkono Mwenyekiti wasingeepusha aibu ile?

Yaani Chama chenye Wafuasi zaidi ya Milioni Sita mmeshindwaje kuandamana hata Watu elfu Kumi tuu. Huu kama siô utani NI kitû gàni?

Inamaana Watu Milioni Sita wanashindwa kusimamia kile wanachokiamini?
Mbona Wamasai Laki unusu tuu wameweza?

Maandamano Yale hayakuwa ya kuipa serikali ujûmbe kuhusu Agenda zilizotolewa kuhusu Utekaji na mauaji.
Bali yametoa ujûmbe Kwa Serikali kuwa CHADEMA haina wanachama watiifu Kwa Chama Chao. Wanachama àmbao wanaweza kusimamia kile wanachokiamini.

Maandamano Yale yametoa pîcha Kwa nchi zingine kama Ulaya na Amerika kuwa CHADEMA hakina ushawishi wowote.

Maandamano Yale yametoa pîcha Kwa wananchi kuwa CHADEMA siô Chama kinachokubalika.

Maandamano Yale yametoa pîcha kwa vyama vingine hasa Chama Tawala kuwa CHADEMA siô vile walivyokuwa wanaihofia.

Maandamano Yale yameleta majuto hasa Kwa viongozi WA serikali, Vyombo vya Dola na watawala kujuta Kutoa matamko Makali na Mengine Mabaya, na Kutumia Ñguvu àmbayo haikustahili.
Yàani Kúua nzi Kwa Nyundo.

Maandamano Yale yamekatisha tamaa Baadhi ya viongozi ambao wanampango WA kugombea kupitia CHADEMA na kuona Hakuna tumaini jema kupata uongozi kupitia CHADEMA.

Yaani hata Watu Elfu Moja kweli wakashindwa kuandamana?

Hakika wanachadema ninyi hamjakidhi vigezo vya kuitwa watetezi wa wanyonge kwèñye mapambano Makali, labda Kwa njia ya mdomo na mitañdaoni lakini huku field hapana Kwa Kwèli.

Mmemtia Mwenyekiti Mbowe Aibu. Angalau mngejaribu hata kidôgo Watu wangeona walau mlitoka.

Hii inaweza kuonyesha Mpo kwaajili ya kumtumia Mzee Mbowe. Mnamsifia tuu Bure lakini matendo Yenu yapo Mbali Sana.

Angalia Raila Odinga, anaitwa Baba. Huyo akisema Watu wanafuata. Na hawapo tayari Kumtia Aibu.
Niliona hata Kwa Jacob Zuma Kule Afrika Kûsini.

Fuatilieni Jambo Hilo. Jengeni unity. Na dalili ya Unity ni Kufuata oda ya Mwenyekiti wenu.

Jioni njema
 
Daah 🤣 mimi nilijua tu, Tanzania amna waandamanaji, Labda kama maandamano yasingekuwa yamebagua vyama vingine. Lakini eti CCM, au CHADEMA. Sizani
 
Kwani lengo la Maandamano lilikuwa ni nini?

Au yalikuwa Maandamano ya Sensa? 😂😂😂
 
Tofautisha s afrika kenya na tz.huku wanatafutwa sisimizi wanaoikosoa serikali.usalama ni mdogo unakula faya kweli bila huruma.wenzetu wanakatiba yenye nguvu na si viongoz wenxe ubavu na hakuna wakuwafanya sbb wanalindwa na dola
 
Mkûu hivi unajua Aibu aliyoipata Mbowe ni kûbwa Sana.

Angalau Binti Yake mdogo alimtia Moyo
Hakika ni Aibu kubwa. Hii aibu naifananiaha na ya mwalimu wetu mkuu alikosa kura hata moja, staff walipiga kura za maoni kwenye kesi fulani ya nani asamehewe, au nani hahusiki. Ni Aibu kubwa na aliacha ualimu. Bora hiyo cha kitoto.

Mbowe wamemuaibisha sana
 
Tofautisha s afrika kenya na tz.huku wanatafutwa sisimizi wanaoikosoa serikali.usalama ni mdogo unakula faya kweli bila huruma.wenzetu wanakatiba yenye nguvu na si viongoz wenxe ubavu na hakuna wakuwafanya sbb wanalindwa na dola

Huko Kenya kwèñye maandamano wanakufaga pia hata juzi wamekufa Zaid ya 10
 
Habari za weekend!

Polisi na serikali kitakuwa NI kichaka tuu cha Kutoa Lawama lakini ukweli wa wazi NI kuwa, Wanachadema wamemtia aibu Mbowe.

Haiwezeniki Mwenyekiti atoe la namna Ile. Mpaka anasema kama akikamatwa au akiuawa muendelee na maandamano alafu Siku ya tukio mkamkimbia.

Nimejaribu kujishawishi lakini imeshindikana.

Tuachane na wanachama WA kawaida wa CHADEMA. Hivi viongozi WA CHADEMA wôte nchi nzima wangeamua kumuunga Mkono Mwenyekiti wasingeepusha aibu ile?

Yaani Chama chenye Wafuasi zaidi ya Milioni Sita mmeshindwaje kuandamana hata Watu elfu Kumi tuu. Huu kama siô utani NI kitû gàni?

Inamaana Watu Milioni Sita wanashindwa kusimamia kile wanachokiamini?
Mbona Wamasai Laki unusu tuu wameweza?

Maandamano Yale hayakuwa ya kuipa serikali ujûmbe kuhusu Agenda zilizotolewa kuhusu Utekaji na mauaji.
Bali yametoa ujûmbe Kwa Serikali kuwa CHADEMA haina wanachama watiifu Kwa Chama Chao. Wanachama àmbao wanaweza kusimamia kile wanachokiamini.

Maandamano Yale yametoa pîcha Kwa nchi zingine kama Ulaya na Amerika kuwa CHADEMA hakina ushawishi wowote.

Maandamano Yale yametoa pîcha Kwa wananchi kuwa CHADEMA siô Chama kinachokubalika.

Maandamano Yale yametoa pîcha kwa vyama vingine hasa Chama Tawala kuwa CHADEMA siô vile walivyokuwa wanaihofia.

Maandamano Yale yameleta majuto hasa Kwa viongozi WA serikali, Vyombo vya Dola na watawala kujuta Kutoa matamko Makali na Mengine Mabaya, na Kutumia Ñguvu àmbayo haikustahili.
Yàani Kúua nzi Kwa Nyundo.

Maandamano Yale yamekatisha tamaa Baadhi ya viongozi ambao wanampango WA kugombea kupitia CHADEMA na kuona Hakuna tumaini jema kupata uongozi kupitia CHADEMA.

Yaani hata Watu Elfu Moja kweli wakashindwa kuandamana?

Hakika wanachadema ninyi hamjakidhi vigezo vya kuitwa watetezi wa wanyonge kwèñye mapambano Makali, labda Kwa njia ya mdomo na mitañdaoni lakini huku field hapana Kwa Kwèli.

Mmemtia Mwenyekiti Mbowe Aibu. Angalau mngejaribu hata kidôgo Watu wangeona walau mlitoka.

Hii inaweza kuonyesha Mpo kwaajili ya kumtumia Mzee Mbowe. Mnamsifia tuu Bure lakini matendo Yenu yapo Mbali Sana.

Angalia Raila Odinga, anaitwa Baba. Huyo akisema Watu wanafuata. Na hawapo tayari Kumtia Aibu.
Niliona hata Kwa Jacob Zuma Kule Afrika Kûsini.

Fuatilieni Jambo Hilo. Jengeni unity. Na dalili ya Unity ni Kufuata oda ya Mwenyekiti wenu.

Jioni njema

Mkuu chama kina mchanganyiko wa wenye kuwaona HAMAS, Hezbollah, au wa Houthi kuwa ni magaidi; kumbe utegemee nini?
 
Kwani lengo la Maandamano lilikuwa ni nini?

Au yalikuwa Maandamano ya Sensa? 😂😂😂

Vyovyote walivyokuwa wamepanga lakini lazima wangetakiwa Kulinda heshima ya Mwenyekiti Mbowe na heshima ya Chama

Embu Fikiria maandamano ya Chama kikubwa chenye Watu Milioni Sita ati waliojitokeza hawafiki elfu Moja, waliokamatwa hafiki hata Mia. Huo siô utani?
 
Mkuu chama kina mchanganyiko wa wenye kuwaona HAMAS, Hezbollah, au wa Houthi kuwa ni magaidi; kumbe utegemee nini?

Wale wapenzi WA kwèli walitakiwa wajitokeze.

Lakini Mbowe najua kavunjwa Moyo Sana. NI vile hawezi kusema hilo
 
Kiuhalisia aibu ni ya Serikali ya Samia kwa kushindwa kutoa uhakika wa usalama wa waandamanaji kiasi cha watu kuwa tayari kuingia mtaani.
 
Uliwaona Wamasai?

Yale yalikuwa maandamano ya CHADEMA kudai mambo fulanifulani. Waô ndîo walikuwa wanajua Kwa nini wanaandamana, Samia, sijui Jeshi la Polisi na Wengine kuwaingiza Hapo NI visingizio.

Kwanza hao ilishajulikana nawawasapoti na siô lazima wawasapoti. Hivyo ninyi ndîo mlitakiwa mjue chakufanya

Polisi na Samia siô CHADEMA
 
Back
Top Bottom