Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwaona Wamasai?
Yale yalikuwa maandamano ya CHADEMA kudai mambo fulanifulani. Waô ndîo walikuwa wanajua Kwa nini wanaandamana, Samia, sijui Jeshi la Polisi na Wengine kuwaingiza Hapo NI visingizio.
Kwanza hao ilishajulikana nawawasapoti na siô lazima wawasapoti. Hivyo ninyi ndîo mlitakiwa mjue chakufanya
Polisi na Samia siô CHADEMA
Tatizo ni kuwa na association isiyojua inaamini au inasimia nini:
Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama
Matokeo yake ni kubakia kulaumu wengine Hadi Simba na yanga huko.
Wewe uko tayari kufa au kuumizwa kwa ajili ya dini yako au mungu wako?
Wamasai wana imani Moja inayoeleweka.
Vivyo hovyo HAMAS, Hezbollah au wa Houthi.
Watu wanakuwa tayari kufia Imani zao.
Wewe uko tayari kuifia imani yako au kuumizwa vibaya kwa sababu ya imani yako ya kidini au mungu wako?Kama hauko tayari kufia unachoa amini hufai katika mapambano
Serious Maiti toka lini iliwahi kuandamana,kingine kwa kizazi gani hiki cha Simba na Yanga 🐒
Tatizo lao wanarukiarukia ajenda, hata haileweki unaandamana kwa sababu ipi hasa.
Wewe ukiangalia unaona ilikuwa Sawa?
Watu zaidi ya Milioni Sita washindwe kujitokeza hata Watu elfu Kumi. Unaona NI kawaida?
Kuna utofauti kuongea,kuandika na vitendo.Lakini wàpo wanaojiita Wanachadema na Wengine wanakadi.
Na inasemwa wanachama hai NI zaidi ya Milioni Sita.
Lakini Watu elfu Kumi tuu kumsitiri Mwenyekiti Mbowe na CHADEMA walikosekana
Nikubali uwasilishaji wako wa hojaHabari za weekend!
Polisi na serikali kitakuwa NI kichaka tuu cha Kutoa Lawama lakini ukweli wa wazi NI kuwa, Wanachadema wamemtia aibu Mbowe.
Haiwezeniki Mwenyekiti atoe la namna Ile. Mpaka anasema kama akikamatwa au akiuawa muendelee na maandamano alafu Siku ya tukio mkamkimbia.
Nimejaribu kujishawishi lakini imeshindikana.
Tuachane na wanachama WA kawaida wa CHADEMA. Hivi viongozi WA CHADEMA wôte nchi nzima wangeamua kumuunga Mkono Mwenyekiti wasingeepusha aibu ile?
Yaani Chama chenye Wafuasi zaidi ya Milioni Sita mmeshindwaje kuandamana hata Watu elfu Kumi tuu. Huu kama siô utani NI kitû gàni?
Inamaana Watu Milioni Sita wanashindwa kusimamia kile wanachokiamini?
Mbona Wamasai Laki unusu tuu wameweza?
Maandamano Yale hayakuwa ya kuipa serikali ujûmbe kuhusu Agenda zilizotolewa kuhusu Utekaji na mauaji.
Bali yametoa ujûmbe Kwa Serikali kuwa CHADEMA haina wanachama watiifu Kwa Chama Chao. Wanachama àmbao wanaweza kusimamia kile wanachokiamini.
Maandamano Yale yametoa pîcha Kwa nchi zingine kama Ulaya na Amerika kuwa CHADEMA hakina ushawishi wowote.
Maandamano Yale yametoa pîcha Kwa wananchi kuwa CHADEMA siô Chama kinachokubalika.
Maandamano Yale yametoa pîcha kwa vyama vingine hasa Chama Tawala kuwa CHADEMA siô vile walivyokuwa wanaihofia.
Maandamano Yale yameleta majuto hasa Kwa viongozi WA serikali, Vyombo vya Dola na watawala kujuta Kutoa matamko Makali na Mengine Mabaya, na Kutumia Ñguvu àmbayo haikustahili.
Yàani Kúua nzi Kwa Nyundo.
Maandamano Yale yamekatisha tamaa Baadhi ya viongozi ambao wanampango WA kugombea kupitia CHADEMA na kuona Hakuna tumaini jema kupata uongozi kupitia CHADEMA.
Yaani hata Watu Elfu Moja kweli wakashindwa kuandamana?
Hakika wanachadema ninyi hamjakidhi vigezo vya kuitwa watetezi wa wanyonge kwèñye mapambano Makali, labda Kwa njia ya mdomo na mitañdaoni lakini huku field hapana Kwa Kwèli.
Mmemtia Mwenyekiti Mbowe Aibu. Angalau mngejaribu hata kidôgo Watu wangeona walau mlitoka.
Hii inaweza kuonyesha Mpo kwaajili ya kumtumia Mzee Mbowe. Mnamsifia tuu Bure lakini matendo Yenu yapo Mbali Sana.
Angalia Raila Odinga, anaitwa Baba. Huyo akisema Watu wanafuata. Na hawapo tayari Kumtia Aibu.
Niliona hata Kwa Jacob Zuma Kule Afrika Kûsini.
Fuatilieni Jambo Hilo. Jengeni unity. Na dalili ya Unity ni Kufuata oda ya Mwenyekiti wenu.
Jioni njema
Mtiberi wetu mwandamizi, hutendi haki kusema hivyo, wapinzani wale waliandaa maandamano ya amani.
Mkuu viongozi wao wote walikamatwa mapema asubuhi, wafuasi wao wangefanyaje kwa tishio lile la askari kote Dar.
Ni ajabu watu kuitisha maandamano ya amani wakati huo polisi wanatishia amani ya maandamano!!!
Labda Mtiberi mwenzangu ungesema wapinzani wakaze kuendelea kuandamana ili polisi watande mitaani tulale.
Kwa kweli hakuna haja ya kuwa na sungusungu mitaani kama wapinzani wakiwa na utaratibu wa kukomaa kuandama namna ile kila siku!!!
Nikubali uwasilishaji wako wa hoja
Kwani Freeman Mbowe hakufanikiwa kuongea na waandishi wa Habari na kufikisha Ujumbe?Vyovyote walivyokuwa wamepanga lakini lazima wangetakiwa Kulinda heshima ya Mwenyekiti Mbowe na heshima ya Chama
Embu Fikiria maandamano ya Chama kikubwa chenye Watu Milioni Sita ati waliojitokeza hawafiki elfu Moja, waliokamatwa hafiki hata Mia. Huo siô utani?