Kiukweli Wanachadema walimtia aibu Mwenyekiti Mbowe

Kiukweli Wanachadema walimtia aibu Mwenyekiti Mbowe

Kama mswahili naamini msemo “Jini likujualo halikuli likakwisha” CCM ni jini ila atleast halitaki kunimaliza sababu lina mfumo(a very stable status quo) ambayo mpaka sasa ina work kwa miaka zaidi ya 60. Right now i trust CCM just because of convenient and Security.

Dont blame me blame the system which influenced me by various method and most of Tanzanian are vulnerable to them same method.

Mfumo waliouweka CCM ni mgumu, kuuvunja itahitaji Chama pinzani Kiwe na wataalamu wa kuweza kuu- destabilise Kwanza Kabla hawajaudondosha.

Mpaka Sasa bado mfumo wa CCM upo strong, umejichimbia kwèñye maeneo nyeti Sana, kuacha Dola lenyewe, ukiingia kwèñye Dini wàpo, Burudani na michezo wàpo, n.k.

CHADEMA wamekosa Mbinu na wanahitaji Akili mpya kuiangusha CCM.

Ukiona Chama kinafikia hatua ya kulaumu Sijui Polisi, sijui Viongozi wa Dini, au Timu za Mpira na washabiki wake, Wakati hao ndîo wateja wènyewe àmbao Chama kinatakiwa kitumie Mbinu zozote kuwashawishi. Lakini kinatoa Lawama ujue kimeshindwa na kuishiwa Mbinu
 
Usifaninishe Kenya na Tanzania, kwa mujibu wa katiba ya kenya polisi haruhusiwi kumpiga muuandamaji. Pili technically Chadema wameshindwa kujua mtego wa kisheria uliowekwa na serikali eti ukitaka kuandamana lazima utoe taarifa. Maandano hayatangazwi, wamasai wa ngorongoro walimtangazia nani?
 
Usifaninishe Kenya na Tanzania, kwa mujibu wa katiba ya kenya polisi haruhusiwi kumpiga muuandamaji. Pili technically Chadema wameshindwa kujua mtego wa kisheria uliowekwa na serikali eti ukitaka kuandamana lazima utoe taarifa. Maandano hayatangazwi, wamasai wa ngorongoro walimtangazia nani?

Huko Kenya waandamanaji kadhaa waliuawa na Risasi

Maandamano kutangaza au kuombwa KIBALI siô tatizo.
Watu walioamua kuandamana kibali siô kisingizio Wala Polisi siô kisingizio.
 
Mkuu kama kweli wapinzani hawa wana hali mbaya kihivyo au kama kweli hawa wapinzani ni dhaifu kiasi hicho unacho taka kuwaaminisha watu, ni kwa nini serikali inatumie nguvu kubwa kuwadhibiti???

Mkuu ni kwa nini chama tawala kina haha na kukosa usingizi kiasi cha kupora kila uchaguzi kwa gharama kubwa???

Huoni kuwa kinyume cha usemacho ndio kweli??? Au wewe ndiye huoni sawa sawa???
Wengi wako huko Ulaya na Marekani ndio maana wamejazana kwenye social media lakini mitaani hapa TZ hakuna.
 
Ni aibu kubwa sana kwa chama chadomo!! Wakina Erythrocyte waliingia mitini wakamwacha DJ na mtoto wake. Lakini kwenye mitandao walikuwa wanatisha ile mbaya. Sasa hivi hawaongei tena maandamano wamehamia kwa Kampuni ya Tigo!

Erythrocyte unaweza kueleza Kwa nini mliamua Kumtia Mwenyekiti Mbowe na Chama chenu aibu Kwa kiwango kile?

Kama lengo NI kufikisha ujûmbe, mlikosa njia ñyiñgine ya kufikisha huo ujûmbe Mpaka mkaamua kumfedhehesha Mwenyekiti na Chama chenu? Yaani kujivua nguo
 
Usifaninishe Kenya na Tanzania, kwa mujibu wa katiba ya kenya polisi haruhusiwi kumpiga muuandamaji. Pili technically Chadema wameshindwa kujua mtego wa kisheria uliowekwa na serikali eti ukitaka kuandamana lazima utoe taarifa. Maandano hayatangazwi, wamasai wa ngorongoro walimtangazia nani?
Kenya vijana wengi ni chokola hivyo ni rahisi sana kuwashawishi kuingia kwenye maandamano tofauti na TZ vijana wengi wanashughuli za kufanyakazi mbalimbali pia Lema aliwadharau sana Bodaboda kwa kuwaambia eti ni kazi iliyolaaniwa na Mwenyezi Mungu wakati huko nyuma ndio walikuwa wanawategemea kwenye maandamano yao. Sasa watakula jeuri yao.
 
Habari za weekend!

Polisi na serikali kitakuwa NI kichaka tuu cha Kutoa Lawama lakini ukweli wa wazi NI kuwa, Wanachadema wamemtia aibu Mbowe.

Haiwezeniki Mwenyekiti atoe la namna Ile. Mpaka anasema kama akikamatwa au akiuawa muendelee na maandamano alafu Siku ya tukio mkamkimbia.

Nimejaribu kujishawishi lakini imeshindikana.

Tuachane na wanachama WA kawaida wa CHADEMA. Hivi viongozi WA CHADEMA wôte nchi nzima wangeamua kumuunga Mkono Mwenyekiti wasingeepusha aibu ile?

Yaani Chama chenye Wafuasi zaidi ya Milioni Sita mmeshindwaje kuandamana hata Watu elfu Kumi tuu. Huu kama siô utani NI kitû gàni?

Inamaana Watu Milioni Sita wanashindwa kusimamia kile wanachokiamini?
Mbona Wamasai Laki unusu tuu wameweza?

Maandamano Yale hayakuwa ya kuipa serikali ujûmbe kuhusu Agenda zilizotolewa kuhusu Utekaji na mauaji.
Bali yametoa ujûmbe Kwa Serikali kuwa CHADEMA haina wanachama watiifu Kwa Chama Chao. Wanachama àmbao wanaweza kusimamia kile wanachokiamini.

Maandamano Yale yametoa pîcha Kwa nchi zingine kama Ulaya na Amerika kuwa CHADEMA hakina ushawishi wowote.

Maandamano Yale yametoa pîcha Kwa wananchi kuwa CHADEMA siô Chama kinachokubalika.

Maandamano Yale yametoa pîcha kwa vyama vingine hasa Chama Tawala kuwa CHADEMA siô vile walivyokuwa wanaihofia.

Maandamano Yale yameleta majuto hasa Kwa viongozi WA serikali, Vyombo vya Dola na watawala kujuta Kutoa matamko Makali na Mengine Mabaya, na Kutumia Ñguvu àmbayo haikustahili.
Yàani Kúua nzi Kwa Nyundo.

Maandamano Yale yamekatisha tamaa Baadhi ya viongozi ambao wanampango WA kugombea kupitia CHADEMA na kuona Hakuna tumaini jema kupata uongozi kupitia CHADEMA.

Yaani hata Watu Elfu Moja kweli wakashindwa kuandamana?

Hakika wanachadema ninyi hamjakidhi vigezo vya kuitwa watetezi wa wanyonge kwèñye mapambano Makali, labda Kwa njia ya mdomo na mitañdaoni lakini huku field hapana Kwa Kwèli.

Mmemtia Mwenyekiti Mbowe Aibu. Angalau mngejaribu hata kidôgo Watu wangeona walau mlitoka.

Hii inaweza kuonyesha Mpo kwaajili ya kumtumia Mzee Mbowe. Mnamsifia tuu Bure lakini matendo Yenu yapo Mbali Sana.

Angalia Raila Odinga, anaitwa Baba. Huyo akisema Watu wanafuata. Na hawapo tayari Kumtia Aibu.
Niliona hata Kwa Jacob Zuma Kule Afrika Kûsini.

Fuatilieni Jambo Hilo. Jengeni unity. Na dalili ya Unity ni Kufuata oda ya Mwenyekiti wenu.

Jioni njema
Kwani huko Tigo mnasemaje naona kwa moto unao waka
 
Vyovyote walivyokuwa wamepanga lakini lazima wangetakiwa Kulinda heshima ya Mwenyekiti Mbowe na heshima ya Chama

Embu Fikiria maandamano ya Chama kikubwa chenye Watu Milioni Sita ati waliojitokeza hawafiki elfu Moja, waliokamatwa hafiki hata Mia. Huo siô utani?
Heshima ililindwa ndio maana mbwa walizagaa mtaani.
 
😃😃

Kwani lengo lilikuwa kuongea na Vyombo vya Habari au kufanya maandamano?

Kwani serikali ilimzuia CHADEMA na Mwenyekiti Kutumia Vyombo vya Habari?

Kama lengo NI ujûmbe ufike, mbona kila Siku tunasoma na kusikia CHADEMA kwèñye Online TV?
Pale Magomeni Kikeke alikuwepo 😂😂
 
Erythrocyte unaweza kueleza Kwa nini mliamua Kumtia Mwenyekiti Mbowe na Chama chenu aibu Kwa kiwango kile?

Kama lengo NI kufikisha ujûmbe, mlikosa njia ñyiñgine ya kufikisha huo ujûmbe Mpaka mkaamua kumfedhehesha Mwenyekiti na Chama chenu? Yaani kujivua nguo
Uzushi umeandika wewe lakini unataka mimi nifafanue ili iweje?
 
Hilo ndîo tatizo
Bado CHADEMA haijajenga kitu inaitwa ITIFADI Kwa wanachama wake.

Simba na Yanga hizô NI timu z Mpira Huwezi kuzilaumu na kulaumu washabiki wake Wakati haohao washabiki unatakiwa kuwashawishi ili wajiunge na Chama Chako.

Angalia Chama cha Hammas n Hezbollah, Dunia nzima Iko opposite na waô lakini Mwaka WA 30 huu Dunia inashindwa kufuta vyama hivyo zaidi ya kuishia kuita vyama vya kigaidi

Huwezi kuwa rafiki wa mungu na shetani wakati mmoja:

Tutambuane: Wenye ujasiri au sababu za kuikabili CCM

Unapambana vipi upande mmoja na wasiokuwa wenzako katika imani?
 
Back
Top Bottom