Kiukweli Wanachadema walimtia aibu Mwenyekiti Mbowe

Maandamano hayahitaji mtu uwe jasiri ni hapa Tanzania watawala wanataka iwe hivyo kwasababu hawapendi watu wakosoe madhaifu yao na wanapenda kushinda uchaguzi kwa hila. Watu hawa huchukia na pia kuogopa sana maandamano.
 
Mimi nadhani haya maandamano yanakosa uungwaji mkono wa wananchi kwa kuwa yamekaa kichama zaidi. Nikweli agenda zinahusu kile kinachoitwa maisha magumu,unyanyasaji na ukiukwaji wa haki ambapo kila raia anguswa kwa namna fulani.Tatizo nipale ambapo waandaaji wa maandamano wanaweka haya mambo kwa namna ambayo kila atakayeshiriki atakuwa anaunga mkono chama husika wakati ukweli nikwamba Kuna watu wengi hawana vyama au wanatoka vyama mbalimbali ambao nao wanaguswa na hayo mambo.
 
Maandamano hayahitaji mtu uwe jasiri ni hapa Tanzania watawala wanataka iwe hivyo kwasababu hawapendi watu wakosoe madhaifu yao na wanapenda kushinda uchaguzi kwa hila. Watu hawa huchukia na pia kuogopa sana maandamano.

Kwa hIyo hao watawala lini watapenda watu wakosoe madhaifu yao au wasishinde kwa hila?

Au lini wataacha kuchukia maandamano?

Kwa mawazo kama yako hakika wamasai wote leo, wangekuwa msomera!
 
Kama yamekaa kichama na kuwa wanachama hawakutokea, labda kama unataka kusema na wanachama nao hamna?
 
Kwa hIyo hao watawala lini watapenda watu wakosoe madhaifu yao au wasishinde kwa hila?

Au lini wataacha kuchukia maandamano?

Kwa mawazo kama yako hakika wamasai wote leo wangekuwa msomera!
Katiba mbovu ndio chanzo kikubwa cha mambo haya lakini pia uwepo wa CCM madarakani. Ujinga wa watanzania ni jambo kubwa hasa wale ambao bado wanaishabikia CCM.
 
Kama yamekaa kichama na kuwa wanachama hawakutokea, labda kama unataka kusema na wanachama nao hamna?
Hoja yangu nikwamba, yangekuwa na taswira ya kitaifa kwa kuwafanya watu wote waamini hilo jambo linawahusu bila kujalisha itikadi zao za kisiasa. Kwa namna hiyo isingesubiriwa wanachama sijui milioni6 wajitokeze badala yake raia wangeunga mkono kwa kuamini kinachotetewa kinawahusu wao moja kwa moja.
 
Katiba mbovu ndio chanzo kikubwa cha mambo haya lakini pia uwepo wa CCM madarakani. Ujinga wa watanzania ni jambo kubwa hasa wale ambao bado wanaishabikia CCM.

Kumbe katiba mbovu itaondoka yenyewe?

Kwa mawazo ya kinyonge kama yako kumbe CCM Kwa mkwara tu, itatawala miaka 100 mingine.
 
Kumbe katiba mbovu itaondoka yenyewe?

Kwa mawazo ya kinyonge kama yako kumbe CCM Kwa mkwara tu, itatawala miaka 100 mingine.
Kinachonishangaza kuliko vyote ni wewe hata baada ya kujua hayo yote bado unaishabikia CCM!
 
Kwa maana nyingine wananchi Tanga msibani wangeachwa kupaza sauti zao ...
 
Kule Kenya Nguvu yao kufa na Kupona iko maeneo ya mabanda Kibera kule chameRaila anajua piga ua lazima watu wake wako pale sasa wale mnaowaona akina Omosh One Hour, Nuru Okanga ,na Yule Usiku wa Manane wale jamaa wana watu wanahamasisha na pia wamesoma wanajielewa ukiwasikiza wanavyoongea na wanavyofanya mabunge yao wanajadili issues wanarusha mtandaoni...

Sasa Chadema wale Mbowe sio mpinzani hivyo yeye alikua anajua anachofanya...Watu au vijana wao kazi ni kutukana mtandaoni wakimaliza wanajificha...
 
Mara ngapi CHADEMA wamekuwa wakidhibitiwa kwa namna hiyo? Kuanzia Yale ya UKAWA.
Kwa nini hawabadili mbinu?
 
Asili ya Chadema na muasisi wake Mzee Mtei, ni chama cha hoja, kujenga hoja, tamaduni ya kutukana na maandamano inataka kupandikizwa na Lissu lakini inagoma!

Hata hao wanajeshi, inasemekana Lissu anashinikiza waingie katika korido za chama ili kupandikiza tamaduni za matumizi ya nguvu ili kupata mamlaka ya kisiasa
 
Wangejitokeza alafu ingefahamika.
Mbona Mbowe alijitokeza. Hiyo ndio hoja
Tunapaswa kuilaumu Polisi na serkali kwa kuzuia maandamano ya amani kinyume na katiba na sio kuwalaumu CHADEMA kwa kushindwa kuandamana baada ya kuzuiliwa na Polisi.
 
Waandamanaji wa CHADEMA wapo mitandaoni tu.

These buffoons are predominantly online to promote and perpetuate dangerous political dissent, further sowing seeds of subjugation of African peoples. The unsuspecting masses.

Wapo humu na wengine wanajinasibu kama Watanzania na hata CCM🙌🏾

CHADEMA(Uongozi) unadanganyika sana na hawa watu.

Ila, ni aibu kweli kama ilivyowasilishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…