Kiukweli Wanachadema walimtia aibu Mwenyekiti Mbowe


Hii ngoma ilikuwa ianzie Tanga
 
Tunapaswa kuilaumu Polisi na serkali kwa kuzuia maandamano ya amani kinyume na katiba na sio kuwalaumu CHADEMA kwa kushindwa kuandamana baada ya kuzuiliwa na Polisi.

Polisi wao Nina lawama zao
Lakini kwa upande wa CHADEMA nao wanalawama kwa kushindwa kuonyesha wao ni chama chenye umoja na chenye wanachama WENYE utiifu kwa chama.

Kwa hiyo Polisi wakiendelea vivyohivyo nanyi mtakuwa mnasitisha maandamano Kila leo
 
hasira zote amepigwa chupa zuchu, huko Mbeya
 
Raila angekua tz na wakenya walivyo mpa Leo polisi wako wangeshaua zaidi ya watanzania milioni moja kwenye maandamano. Kwa sababu umekaa kusifia Upumbavu tu. Mnauamnakuja na vimada vya kipuuzi humu. Kesi ya askali wenu kubaka yule dada kimyaaaaa na ushahidi wa wazi. Mzee ali kibao naye kimyaaaaa. MUNGU ATOPATA TAABU KUWAHUKUMU NYINYI WAUWAJI. ATAWAFUNULIA PALE UNUNIO NA KUWAAMBIA NINI HAPA MLIKIFANYA. Siku hizi mkiteka tunaenda UNUNIO TU.
 
Mara ngapi CHADEMA wamekuwa wakidhibitiwa kwa namna hiyo? Kuanzia Yale ya UKAWA.
Kwa nini hawabadili mbinu?

..kwasababu Chadema ni chama cha AMANI na viongozi wake wanapenda kufuata SHERIA.

..Nia ya Chadema ilikuwa kuandamana kwa AMANI, na sio kupambana,au kuuana na Polisi.
 
Starting point nzuri ilikuwa ni siku ile ya Msiba wa Kibao, ila Mbowe mwenyewe akazingua
 
Waliandamana polisi kwa siku 3 mikoa yote kinondoni, ilala, temeke na walitoka mikoa yote ya bara yalifana kweli. Unasemaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…