Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi
Wakati naendelea ku recover shock ya Wamarekani kuamua kumchagua tena yule Trump, kuliko kuchagua Rais mwanamke, kitu ambacho ni ubaguzi wa wazi kwa jinsia ya kike, kitu ambacho ni ujinga, hivyo nimeshauri 2025, Watanzania tuwaonyeshe tuna akili zaidi yao kwa kuchagua rais mwanamke, Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?
Leo nimekwaa pipa fulani la wazungu, kwenda kumpa pole Kamala, huko kwenye hilo pipa, nikakutana na ubaguzi wa ajabu kuhusu sisi Waafrika na hata watu weusi kwa ujumla.
Naomba kwa heshima ya kutochafua brands za watu, sitalitaja jina la hilo pipa ila nitautaja ubaguzi niliokutana nao ndani ya pipa hilo kuhusu Afrika na kuhusu watu weusi.
Ubaguzi wa kwanza ni kukinyanyapaa lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
Japo lugha ya Kiswahili ni miongoni mwa lugha 10 za dunia, kwenye inflight entertainments za pipa hilo kuna options ya translations ya lugha 16 za mataifa mbalimbali, kitu cha ajabu, Kiswahili hakipo!.
Tukija kwenye contents za video na miziki, there is almost nothing kuhusu miziki ya Afrika!.
Nime search kati ya maelfu ya nyimbo na albums, nimekuta wimbo mmoja tuu wa Afrika ule wa Jerusalem, hakuna muziki wala video zozote kuhusu Afrika.
Ikumbukwe, bara la Africa limemasikinishwa kwa kunyonywa rasilimali za bara hili ndio zimeneemesha ulaya na Amerika, lakini hakuna chochote kuhusu Afrika, sijui hawa jamaa wanatuona sisi ni kama manyani?!.
Kuna kama nyimbo zisizozidi 10 za wasanii weusi akiwemo Brandy, Burna Boy na Tracy Chapmam, nilipo seach jina la Michael Jackson, hakuna!, nikashangaa.
Kuna miziki ya genre mbalimbali za kizungu, pop, jazz, R&B, soul, classics , na genre za mataifa mbalimbali kama Indian, Arabic, Latino, etc, but its a shame hakuna Afro yoyote, wakati hata Marekani Blacks ndio wanatawala muziki.
Nchi ya Uswisi ina sera ya local contents, ukikwea pipa la Swiss Air from Tanzania, kwanza unakaribishwa kwa lugha ya Kiswahi, japo ni recording ya Wakenya na Kiswahili chao kibovu, but at least.
Kwenye inflight entertainments kuna video za Serengeti, na kuna nyimbo za Kiswahili ukiwemo Malaika, Hapo Zamani, Hakuna Matata na vimbo wa Sambolero My Son wa Khadija Nin wa Burundi, but there is something about Africa, lakini hili pipa la mabeberu fulani, its nil kuhusu Africa!, sijui wanatuonaje.
Its not fare!.
China wana sera, ukitaka kufanya chochote nchini China, lazima uweke translation ya lugha ya Kichina.
TCAA wanaweza kuweka shurti kwa ndege zote za kimataifa zinazotua Tanzania, lazima ziwe na local contents na Swahili translation,ili angalau hata watalii waone ile Royal Tour ya Chief Hangaya, wakirudi kwao, wakahadithie!.
Paskali