Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kama huwezi kujilisha mwenyewe na kutwa unaenda kuomba misaada nje na wakati una kila kitu ndani ya nchi yako wewe tofauti na nyani nini? Maendeleo Africa ni hisani ya Rais na siyo takwa la kikatibaBinti wa Watu alipo Sema Wanatuona Nyani aliswekwa Lupango... Ila wewe kwa vile unawasema Mabeberu ni sawa tu. Hakuna neno.
Ubaguzi kwa Waafrika si unafanywa tu na wazungu bali hata mataifa mengine dhidi yetuWanabodi
Wakati naendelea ku recover shock ya Wamarekani kuamua kumchagua tena yule Trump, kuliko kuchagua Rais mwanamke, kitu ambacho ni ubaguzi wa wazi kwa jinsia ya kike, kitu ambacho ni ujinga, hivyo nimeshauri 2025, Watanzania tuwaonyeshe tuna akili zaidi yao kwa kuchagua rais mwanamke, leo nimekwaa pipa fulani la wazungu, kwenda kumpa pole Kamala, huko kwenye hilo pipa, nikakutana na ubaguzi wa ajabu kuhusu sisi Waafrika na hata watu weusi kwa ujumla.
Naomba kwa heshima ya kutochafua brands za watu, sitalitaja jina la hilo pipa ila nitautaja ubaguzi niliokutana nao ndani ya pipa hilo kuhusu Afrika na kuhusu watu weusi.
Ubaguzi wa kwanza ni kukinyanyapaa lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
Japo lugha ya Kiswahili ni miongoni mwa lugha 10 za dunia, kwenye inflight entertainments za pipa hilo kuna options ya translations ya lugha 16 za mataifa mbalimbali, kitu cha ajabu, Kiswahili hakipo!.
Tukija kwenye contents za video na miziki, there is almost nothing kuhusu miziki ya Afrika!.
Nime search kati ya maelfu ya nyimbo na albums, nimekuta wimbo mmoja tuu wa Afrika ule wa Jerusalem, hakuna muziki wala video zozote kuhusu Afrika.
Ikumbukwe, bara la Africa limemasikinishwa kwa kunyonywa rasilimali za bara hili ndio zimeneemesha ulaya na Amerika, lakini hakuna chochote kuhusu Afrika, sijui hawa jamaa wanatuona sisi ni kama manyani?!.
Kuna kama nyimbo zisizozidi 10 za wasanii weusi akiwemo Brandy, Burna Boy na Tracy Chapmam, nilipo seach jina la Michael Jackson, hakuna!, nikashangaa.
Kuna miziki ya genre mbalimbali za kizungu, pop, jazz, R&B, soul, classics , na genre za mataifa mbalimbali kama Indian, Arabic, Latino, etc, but its a shame hakuna Afro yoyote, wakati hata Marekani Blacks ndio wanatawala muziki.
Nchi ya Uswisi ina sera ya local contents, ukikwea pipa la Swiss Air from Tanzania, kwanza unakaribishwa kwa lugha ya Kiswahi, japo ni recording ya Wakenya na Kiswahili chao kibovu, but at least.
Kwenye inflight entertainments kuna video za Serengeti, na kuna nyimbo za Kiswahili ukiwemo Malaika, Hapo Zamani, Hakuna Matata na vimbo wa Sambolero My Son wa Khadija Nin wa Burundi, but there is something about Africa, lakini hili pipa la mabeberu fulani, its nil kuhusu Africa!, sijui wanatuonaje.
Its not fare!.
China wana sera, ukitaka kufanya chochote nchini China, lazima uweke translation ya lugha ya Kichina.
TCAA wanaweza kuweka shurti kwa ndege zote za kimataifa zinazotua Tanzania, lazima ziwe na local contents na Swahili translation,ili angalau hata watalii waone ile Royal Tour ya Chief Hangaya。
Paskali
Well saidKama huwezi kujilisha mwenyewe na kutwa unaenda kuomba misaada nje na wakati una kila kitu ndani ya nchi yako wewe tofauti na nyani nini? Maendeleo Africa ni hisani ya Rais na siyo takwa la kikatiba
Tena hata Zanzibar tu hapo hawajawahi hata kuwa na Makamo wa Rais mwanamke lakini huwezi kusikia wazanzibar wanalalamika, angalia nchi zote za kiarabu hata kiongozi wa juu mwanamke hata kanisa katoliki au na penyewe hakuna wanawake? Paschal unazeeka vibaya sn jitafakariDuniani kote kwanzia magharibi hadi mashariki wanaelewa mwanamke hana uwezo wa kuongoza chochote! wala siyo ubaguzi wa kijinsia. Hata Samia amekuwa Rais si kwa uwezo wake, wala si kwa mapenzi ya Mungu wala ya wanadamu ila kifo cha ghafla cha JPM.
Ni ujinga kuchagua mtu sababu ya jinsia ake badala ya uwezo wake.Aliyetofautisha maumbile KE na ME alikuwa na maana yake ndio maana hakuna mfalme mwanamke na hakuna malikia wakiume,Rais mwanamke ni Rais lakini kwa kuwa siyo nafasi yake anaitwa mama tofauti na Rais wa kiume ambaye moja kwa anaitwa Rais na haitwi baba.
Pachal ni RC mbona hakuna Padre mwanamke na halalamiki? Paschal umeishi Ulaya lakini huna tofauti na mtu alikulia Runzewe hata kidogoWell said
Unataka kupoteza credibilty yako kwenye huu utitiri wa thread zako za leo.Wanabodi
Wakati naendelea ku recover shock ya Wamarekani kuamua kumchagua tena yule Trump, kuliko kuchagua Rais mwanamke, kitu ambacho ni ubaguzi wa wazi kwa jinsia ya kike, kitu ambacho ni ujinga, hivyo nimeshauri 2025, Watanzania tuwaonyeshe tuna akili zaidi yao kwa kuchagua rais mwanamke, leo nimekwaa pipa fulani la wazungu, kwenda kumpa pole Kamala, huko kwenye hilo pipa, nikakutana na ubaguzi wa ajabu kuhusu sisi Waafrika na hata watu weusi kwa ujumla.
Naomba kwa heshima ya kutochafua brands za watu, sitalitaja jina la hilo pipa ila nitautaja ubaguzi niliokutana nao ndani ya pipa hilo kuhusu Afrika na kuhusu watu weusi.
Ubaguzi wa kwanza ni kukinyanyapaa lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
Japo lugha ya Kiswahili ni miongoni mwa lugha 10 za dunia, kwenye inflight entertainments za pipa hilo kuna options ya translations ya lugha 16 za mataifa mbalimbali, kitu cha ajabu, Kiswahili hakipo!.
Tukija kwenye contents za video na miziki, there is almost nothing kuhusu miziki ya Afrika!.
Nime search kati ya maelfu ya nyimbo na albums, nimekuta wimbo mmoja tuu wa Afrika ule wa Jerusalem, hakuna muziki wala video zozote kuhusu Afrika.
Ikumbukwe, bara la Africa limemasikinishwa kwa kunyonywa rasilimali za bara hili ndio zimeneemesha ulaya na Amerika, lakini hakuna chochote kuhusu Afrika, sijui hawa jamaa wanatuona sisi ni kama manyani?!.
Kuna kama nyimbo zisizozidi 10 za wasanii weusi akiwemo Brandy, Burna Boy na Tracy Chapmam, nilipo seach jina la Michael Jackson, hakuna!, nikashangaa.
Kuna miziki ya genre mbalimbali za kizungu, pop, jazz, R&B, soul, classics , na genre za mataifa mbalimbali kama Indian, Arabic, Latino, etc, but its a shame hakuna Afro yoyote, wakati hata Marekani Blacks ndio wanatawala muziki.
Nchi ya Uswisi ina sera ya local contents, ukikwea pipa la Swiss Air from Tanzania, kwanza unakaribishwa kwa lugha ya Kiswahi, japo ni recording ya Wakenya na Kiswahili chao kibovu, but at least.
Kwenye inflight entertainments kuna video za Serengeti, na kuna nyimbo za Kiswahili ukiwemo Malaika, Hapo Zamani, Hakuna Matata na vimbo wa Sambolero My Son wa Khadija Nin wa Burundi, but there is something about Africa, lakini hili pipa la mabeberu fulani, its nil kuhusu Africa!, sijui wanatuonaje.
Its not fare!.
China wana sera, ukitaka kufanya chochote nchini China, lazima uweke translation ya lugha ya Kichina.
TCAA wanaweza kuweka shurti kwa ndege zote za kimataifa zinazotua Tanzania, lazima ziwe na local contents na Swahili translation,ili angalau hata watalii waone ile Royal Tour ya Chief Hangaya。
Paskali
Unataka kusema ni manyani waliovaa nguo au 😀😀Waafrica ni manyani tuu Wala hawana faida yoyote hapa duniani
Ndio mwanawaneUnataka kusema ni manyani waliovaa nguo au 😀😀
Watu wanatafuta kuandika nyuzi ili waonekane. 🤣🤣Ujerumani, Uingereza, Mexico, Denmark na Italia ni wazungu pia na huchagua viongozi wanawake.
Swali yeye anaheshimu ombaomba? anataka wazungu watuheshimu kwa kushinda kwao kuomba misaada? jitegemee kama unataka kuheshimika umepewa rasilimali zote na Mungu lakini kwa kukosa akili unashida unaomba misaada kwao badala ya kujitegemea tofauti yako na nyani ni nini?Uchaguzi wao ni wao na wao ndio wameamua kwa matakwa yao
Trump mpaka Ulaya wanamuogopa kwa sababu anaangalia maslahi ya nchi yao
Kuhusu sisi hata usafiri wetu wenyewe tunauhujumu sasa kwanini wasituone hamnazo?
Umechanganya mambo mengi ila tujiandae kuambiwa ukweli na Trump maana hapepesi macho
Nimesikiliza sana waandishi wa habari wa huku nilipo wakiwa 🇺🇸 na kuwahoji wa Hispanic wengi wanamkibali Trump walipoulizwa amesema atafukuza wengi wenu
Wakajibu kuna wakati anasema vitu ambavyo hafanyi bali kuongea tu kwa mdomo bila vitendo
Ila kwa Ulaya anataka awanyooshe maana wengi wamepeleka viwanda vyao China kwenye cheap labour
Sababu ya kukosa akili, tuna mali zote lakini tumeshindwa kuzitumia matokeo yake tunauana wenyewe kwa wenyewe tofauti yetu na nyani ni nini? tena bora ya nyani wanapendana na kulindana sisi ni wajinga zaidi ya nyani kutwa tunatekana na kuuanaMrisho Mpoto alipokuwa UK alipromote lugha ya kiswahili Kwa niaba ya Kenya
Paschal njaa inamtesa snWatu wanatafuta kuandika nyuzi ili waonekane. 🤣🤣
It's not fare au it's not fairWanabodi
Wakati naendelea ku recover shock ya Wamarekani kuamua kumchagua tena yule Trump, kuliko kuchagua Rais mwanamke, kitu ambacho ni ubaguzi wa wazi kwa jinsia ya kike, kitu ambacho ni ujinga, hivyo nimeshauri 2025, Watanzania tuwaonyeshe tuna akili zaidi yao kwa kuchagua rais mwanamke, leo nimekwaa pipa fulani la wazungu, kwenda kumpa pole Kamala, huko kwenye hilo pipa, nikakutana na ubaguzi wa ajabu kuhusu sisi Waafrika na hata watu weusi kwa ujumla.
Naomba kwa heshima ya kutochafua brands za watu, sitalitaja jina la hilo pipa ila nitautaja ubaguzi niliokutana nao ndani ya pipa hilo kuhusu Afrika na kuhusu watu weusi.
Ubaguzi wa kwanza ni kukinyanyapaa lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
Japo lugha ya Kiswahili ni miongoni mwa lugha 10 za dunia, kwenye inflight entertainments za pipa hilo kuna options ya translations ya lugha 16 za mataifa mbalimbali, kitu cha ajabu, Kiswahili hakipo!.
Tukija kwenye contents za video na miziki, there is almost nothing kuhusu miziki ya Afrika!.
Nime search kati ya maelfu ya nyimbo na albums, nimekuta wimbo mmoja tuu wa Afrika ule wa Jerusalem, hakuna muziki wala video zozote kuhusu Afrika.
Ikumbukwe, bara la Africa limemasikinishwa kwa kunyonywa rasilimali za bara hili ndio zimeneemesha ulaya na Amerika, lakini hakuna chochote kuhusu Afrika, sijui hawa jamaa wanatuona sisi ni kama manyani?!.
Kuna kama nyimbo zisizozidi 10 za wasanii weusi akiwemo Brandy, Burna Boy na Tracy Chapmam, nilipo seach jina la Michael Jackson, hakuna!, nikashangaa.
Kuna miziki ya genre mbalimbali za kizungu, pop, jazz, R&B, soul, classics , na genre za mataifa mbalimbali kama Indian, Arabic, Latino, etc, but its a shame hakuna Afro yoyote, wakati hata Marekani Blacks ndio wanatawala muziki.
Nchi ya Uswisi ina sera ya local contents, ukikwea pipa la Swiss Air from Tanzania, kwanza unakaribishwa kwa lugha ya Kiswahi, japo ni recording ya Wakenya na Kiswahili chao kibovu, but at least.
Kwenye inflight entertainments kuna video za Serengeti, na kuna nyimbo za Kiswahili ukiwemo Malaika, Hapo Zamani, Hakuna Matata na vimbo wa Sambolero My Son wa Khadija Nin wa Burundi, but there is something about Africa, lakini hili pipa la mabeberu fulani, its nil kuhusu Africa!, sijui wanatuonaje.
Its not fare!.
China wana sera, ukitaka kufanya chochote nchini China, lazima uweke translation ya lugha ya Kichina.
TCAA wanaweza kuweka shurti kwa ndege zote za kimataifa zinazotua Tanzania, lazima ziwe na local contents na Swahili translation,ili angalau hata watalii waone ile Royal Tour ya Chief Hangaya。
Paskali
Tangu Trump ashinde mbona unaweweseka ndugu Kuna nini nyuma???Wanabodi