Kiukweli wazungu ni wabaguzi Sana!, Sio tuu wanawabagua wanawake, bali hata Afrika, Sijui Wanatuona Kama Manyani?

Ukiwa na kiburi pia uwe na jeuri, China wana hicho kiburi kwasbb wana Jeuri pia

Watu weusi ni toleo la Nyani wanaoelekea kufanana na Wanadamu
 
Endelea na sarcasm zako ila unapotuambia Kamala hajachaguliwa sababu ya jinsia yake ni kutujaza ujinga, huyo Bibi kilichomgharimu ni sera zake kutovutia wapiga kura, hali ya kiuchumi ya sasa (mfumuko wa bei) chini ya utawala wa chama chake, maandalizi duni ya Uchaguzi yaliyofanywa na chama chake na mengineyo
 
Mwafrika ni kiumbe mpumbavu sana.ukifanya rejea ya hotuba ya P.W.Botha, kipindi cha utawala wa Makaburu kule SA,alisema mwafrika ndo kiumbe asiye na fikra.

Matendo ya mtu mweusi,hayafanani na binadamu aliye kamilika.
 
Ukiwa na kiburi pia uwe na jeuri, China wana hicho kiburi kwasbb wana Jeuri pia

Watu weusi ni toleo la Nyani wanaoelekea kufanana na Wanadamu
Mjapan anatoka Asia,huko ambapo ni mbali,kuja kutoa msaada wa ujenzi wa vyoo Tanzania na wakati huo huo bajeti ya kununua magari ya kifahari kutoka Japan ni kubwa kuzidi baadhi ya wizara
👇
 

Attachments

  • 20241031_101347.jpg
    117.5 KB · Views: 1
  • JamiiForums-1176904024.jpeg
    192.8 KB · Views: 2


Sababu tuna kila aina ya natural resources lakini bado hatueleweki kabisa kimaendeleo. Viongozi wa africa wanaenda kutibiwa kwao, wananunua majumba ya kifahari kwao, etc. Sisi ni kufikiria kubaguliwa wakati tunadharauliwa tu sababu ya tunayofanya. Nakuhakikishia kama sisi ndo tungekuwa na maendeleo waliyonayo wangekuwa wanatutamani na hawatudharau.
 
Ujerumani, Uingereza, Mexico, Denmark na Italia ni wazungu pia na huchagua viongozi wanawake.
Ujerumani chancellor yupo chini ya Rais ambaye always ni mwanaume, Italia pia wana raisi ambaye ndio top, Denmark na Uingereza wana wafalme na Mexico sio wazungu.
 
Mkuu, Harris kapigwa chini kwasababu kichwani alikuwa mweupe, akiulizwa maswali magumu anakwepa, infact hakuwa na sifa yoyote yakuchaguliwa isipokuwa tu siyo Trump😃
 
Mzee wangu,
Nimesoma paragraph yako ya kwanza. Naomba nikuulize
"unavosema ya kwamba wananchi wa Marekani kuamua kumchagua Trump na kumuacha mwanamke yule ni ubaguzi wa kijinsia ina maana kwamba mtu yeyote aonewe huruma na kupewa madaraka kwa sababu eti ni mwanamke tu. Yaani kisa ni mwanamke ndo tuende nae bila kujali sera zake, misimamo na dira zake kweli??
Sasa mbona hiyo dhana "YENU ya 50/50 haiwi sawa??

By the way najua umeandika huu uzi kutaka kuonekana kwa sababu upo hiyo nchi ya jirani yenye kiongozi mwenye jinsia moja na huyo wa Marekani alieshindwa.
Mzee wangu hebu kaa chini utafajari upya maana sisi vijana tunakuona ni msaada kwetu ila unapoenda siko.
 
Wewe wanakuona kama ngedere mcheza muziki
 
Ama kweli Mr. Pas, nimeamini kumbe uchawa mtu huzaliwa nao, huanza tangu akiwà tumboni, akinyonya, akicheza chandimu, kijana, chuoni hadi akiwa Mzee! Hivi kwa nini uchawa usiwe sehemu ya dhambi na tuiogope kama ukoma?
Pas, sasa wewe ni mtu mzima/mzee, acha hiyo.
Ama kweli, RIP J.Msgufuli........" Mayala" kwa Kisukuma ni "Njaa"!
 
Wazungu wako sahihi kutuona sisi ni kama manyani, na ushahidi wa wazi wa unyani wetu upo.
 
Akili zao zipo kwenye CDF atakayeweza kuinua pua na kichwa chake NATO, Urusi, Korea ya panki na China, maswala ya nishati salama ya kupikia kwao hayana nafasi.
Hao unaowatetea kwao ni ceremonial tu.
 
Sasa wewe ulitaka yule mama anayetetea transgender na utoaji mimbawaziwazi ndio achaguliwe? Kwa taarifa yako wengi waliomchagua Trump ukiachana na wanaozikubali sera zake za uchumi ni pamoja na jamii ya wakatoliki na makanisa ya Injili ambao hawapendi huo upuuzi 🤔
 
Wenyewe tunatekana, kubambikiana kesi, wizi wa kura, kuuana kwa ajiri ya siasa, ufisadi etc mfano utakuta mkurugenzi wa halmashauri na wenzake wanaendesha V8 huku hata choo hawana au kichafu kimeziba, huwezi kuheshimu watu wajinga
 
Umeambatana na Samia? Vp Cuba mmeenda?
Cuba wamenigomea visa baada ya kuona nina US visa kwenye passport yangu na intenary yangu ni multi city from Dar -Havana - NY - Dar wakanigomea kuwa nikienda Havana, lazima nirudi kwanza Bongo ndipo niende US, very unfortunately, uchumi wa kununua two tickets sinao.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…