Kiukweli wazungu ni wabaguzi Sana!, Sio tuu wanawabagua wanawake, bali hata Afrika, Sijui Wanatuona Kama Manyani?

Paskali aacha ngojera wamarekani walikuwa wanachagua rais wa nchi jkwa faida ya nchi yaona sio kumuonea huruma mtu kwa sababu ya rangi au jinsia yake.
 
Hakuna cha ubaguzi. Wanawake kazi yao ni kuzaa, kulea watoto na kazi za jikoni. Uongozi wa Nchi na familia ni kazi ya wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…