Kiukwelii..aliniagaa.. Alisema anaenda kubipu maliwatooo...

Zitto zuberi kabwe amesema hana mpango wa kuhama chadema na hatogombea ubunge mwaka 2015.
 
Na mie, na mpango wa kugombani jimbo moja, ngoja nisitangaze nia kwanza, hawa chelewi kunichafua.

Bora manoah umeliona hilo aisee, na ule uzi wa jamaa anataka kuongea na yule makamu wa kiti wa BAVICHA walianza kubishana huko jukwaa na siasa mara mods wakaleta huku, bwana weeee! chit chat ilivamiwa ghafla siasa mbaya angalia sana manoah huko unakotaka kwenda hawa jamaa watakuja na story kibao hata za kutunga..lol
 
Last edited by a moderator:
Nalijua hilo measkron ndio maana najipanga ki uhakika na kuhakikisha sipati shutuma mbovu mbovu
Bora manoah umeliona hilo aisee, na ule uzi wa jamaa anataka kuongea na yule makamu wa kiti wa BAVICHA walianza kubishana huko jukwaa na siasa mara mods wakaleta huku, bwana weeee! chit chat ilivamiwa ghafla siasa mbaya angalia sana manoah huko unakotaka kwenda hawa jamaa watakuja na story kibao hata za kutunga..lol
 
Last edited by a moderator:
Na mie, na mpango wa kugombani jimbo moja, ngoja nisitangaze nia kwanza, hawa chelewi kunichafua.

yani nikisikia siasa hadi masikio yananisisimka, sijui kama hili nalo lahitaji maombi au matendo sijui kwakweliii siasa
 
Rich woman mie, toka nasoma yani nilikua na bahati ya kua ki ongozi, sema udhaifu wangu hua nikisha timiza niliyo ya ahidi hua najiuzulu.

kwahiyo unawaambia wana Iramba mashariki(not sure) ukishatimiza ahadi zako basi utajiuzulu......
 
Last edited by a moderator:
Ukweli napenda kupokezana vijiti. Sio iramba , mie kuna jimbo moja lina ongozwa na kiraza mmoja hivi , katika uzima na mambo yakikaa vizuri nalusha karata..

Back
Top Bottom