Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Ilo nalo neno, ujue na aina ya maisha ya wana siasa wengi wa tanzania ni ma bepari. Ili kwa mjamaa kama mimi hakuna kitacho haribika
yani kama hata ambao ni baadhi ya watumishi wa Mungu wakiingia kwny siasa hawaleti mabadiliko yoyote acha tu....siku moja kitaeleweka tu