trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Zitto zuberi kabwe amesema hana mpango wa kuhama chadema na hatogombea ubunge mwaka 2015.
He Forbes producer,nini tena!
Nape nauye amesema jimbo la ubungo ni lake na mwaka 2015 mnyika ajiandae kutoka
Na mie, na mpango wa kugombani jimbo moja, ngoja nisitangaze nia kwanza, hawa chelewi kunichafua.
Bora manoah umeliona hilo aisee, na ule uzi wa jamaa anataka kuongea na yule makamu wa kiti wa BAVICHA walianza kubishana huko jukwaa na siasa mara mods wakaleta huku, bwana weeee! chit chat ilivamiwa ghafla siasa mbaya angalia sana manoah huko unakotaka kwenda hawa jamaa watakuja na story kibao hata za kutunga..lol
Na mie, na mpango wa kugombani jimbo moja, ngoja nisitangaze nia kwanza, hawa chelewi kunichafua.
Na mie, na mpango wa kugombani jimbo moja, ngoja nisitangaze nia kwanza, hawa chelewi kunichafua.
yani nikisikia siasa hadi masikio yananisisimka, sijui kama hili nalo lahitaji maombi au matendo sijui kwakweliii siasa
Kumbe basi tutaingia wote mjengoni bro,,
Hawakawii kusema una kadi za vyama viwili
yani nikisikia siasa hadi masikio yananisisimka, sijui kama hili nalo lahitaji maombi au matendo sijui kwakweliii siasa
Wanasiasa wamekutenda
Rich woman mie, toka nasoma yani nilikua na bahati ya kua ki ongozi, sema udhaifu wangu hua nikisha timiza niliyo ya ahidi hua najiuzulu.
Wanasiasa wamekutenda
kwahiyo unawaambia wana Iramba mashariki(not sure) ukishatimiza ahadi zako basi utajiuzulu......