Kiumbe mkubwa nyuma ya kiti cha Rais na hatma ya maendeleo yetu

Unaposema katiba mpya haina maana tena hapo ndipo ulipoanzia kushindwa kabla ya kutambua unataka nini huwezi kupata kiongozi wa kukuongoza ikiwa huna utaratibu mzuri wa kupata kiongozi huyo na moja ya utaratibu mzuri kabisa katika nchi ni katiba baasi! Vinginevyo useme unatafuta wa kumsingizia hasa matatizo lukuki tulionayo Tanzania na has a chini ya uongozi wa ccm zaidi ya miaka hamsini 50 hakuna hata dalili ya kuyamaliza, Nadhani kuna haja kubwa ya kuweka utaratibu mzuri wa uongozi na namna ya kupata viongozi wetu ambao ni (Katiba ya nchi)

mzee mzima haishiwi maneno
 
Kitu ambacho watanzania hawataki kuelewa ni kwamba siyo kwamba tumesaini mikataba mibovu, tumeandaa mikataba mibovu. Kwasababu ya rushwa, viongozi wetu waliandaa mikataba mibovu kisha wakasaini. Wazungu wakauliza, are you sure this is okay? Viongozi wetu wakajibu 'yes sir'
 
Mbona unatukatisha tamaa
 
Noma sana hata huyu wetu sidhani kama atadumu wanaweza wakamuondoa japo simkubali jiwe kwa haya matendo yake na mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa ya kuteka,kuua,kutesa,kunyanyasa na ameua uchumi ila huyu wetu ni suala la muda tu jiwe anaweza asikae madarakani kwa miaka 10 kwasababu keshaanza kuwazibia ulaji na kujenga hilo bwawa ndo amewatibua akili kabisa hawa wahuni kama waliweza kumfyeka Nyerere kupitia mkapa ili sera zao za Capitalism zikue nchini sidhani kama watamshindwa jiwe ni suala la muda tu na muda utakuja kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtoa mada ana mawazo ya kimaskini maana anachokisema hakisadifu ukweli halisi
China imeendelea sana watu hao wakiwa wapi kama ni kweli kila rais anapaswa kubend kwao?

Tukubali sisi watanzania hatujapata viongozi wenye nia ya dhati kututoa hapa, wengi ni wafuasi wa vyama vyao zaidi kuliko taifa letu ndiyo maana wanapasiana vyeo tu huko hata kama uwezo wa wahusika haupo vizuri
 
Hamuwaogopi lakini ndio baba zenu katika kila jambo unawaepukaje?

Bado unabaki ndani ya hoja ya mtoa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…