Kiundwe chombo huru cha kusimamia Jeshi la Polisi

Sitetei KABISA vitendo vya otovu wa nidhamu vya baadhi ya askari wachache wa jeshi la polisi wasio na nidhamu, ila mojawapo ya ^tactical appreciation^ za polisi ni kumwamuru mtuhumiwa ajisalimishe kwa hiari; anapoleta purukushani ndipo askari wanaonesha umahiri wao walioupata kule mazoezini.
 
Hivi ni kwanini Jeshi hili linalolalamikiwa kila pembe ya nchi, lisivunjwe na kuundwa upya??

Siri ni moja tu, kuwa hili Jeshi ndilo "washirika" wakubwa Sana wa CCM nyakati za uchaguzi!

Ni sawa sawa na mtu kumwambia aukate mkono wake unaomsaidia kumlisha!
 
Mimi huwa nashauri sana.. Ukiona umeingia ndani ya kituo kwa kosa la kweli au kusingizia basi hekima iwe sana juu yako bila hivyo unapotea moja kwa moja..
KWANZA
I) usijifanye mjuaji wa sheria kuwa mpole ili uokoe maisha yako
II) jenga urafiki haraka sana na jiweke chini hata piga magoti.. Bila hivyo utaweza kupata ulemavu wa viungo au kufa kabisa
PILI
I) hatakama hujafanya kosa kubali maana utajitetea mahakamani kwamba ulikuwa unaokoa maisha yako kule mahabusu
II) rushwa haifichiki polisi ni jambo la kawaida kama unachochote hasa kesi za kutengeneza jaribu kutoa chochote.. Uokoe muda pili uokoe maisha yako

TOFAUTI NA HAPO UKIJIFANYA MJUAJI UNAWEZA KUPELEKWA PORINI UKAPEWA AK 47 AU SMG MGONGONI ZA KUTOSHA
 
Tatizo ni upoliceccm hawa wapo kwa ajili ya kuwalinda, kiwatetea viongozi na watawala waharifu, majizi na mafisadi hao hawachukuliwi hatua yoyote ila raia saaa akoandamana tu kwa kudai haki yake anapigwa hasi risasi
 
Polisi Tanzania limekuwa jeshi ambalo linaweza kubambika kesi kwa yeyote wamtakae na lisihojiwe na chombo chochote.

Wameenda mbali wanaua mtu yeyote hasa wafanyabishara endapo wataona ana mali za kumpora,wanamuua na wanamtupa na kuchukua mali zake kwa jeuri kabisa wakijua kabisa kwamba hakuna chombo kingine kinachoweza kupepeleleza jinai zaidi yao.

Polisi Tanzania ni janga kuu,serikali unda chombo kipya kilisimamie jeshi la polisi,hawawezi tena kujisimamia ,wamegeuka laana kwa nchi

Serikali fanyeni haraka tuokoe wananchi dhidi ya wapumbavu hawa!!! Kama mishahara midogo waongezeni.
Wizara ya Mambo ya Ndani inafanya kazi gani bwashehe au ndio mnawaza ulaji tu?
 
Muda muafaka umefika wa kuliunda upya jeshi la polisi ikiwa ni pamoja na kuajiri watu wenye uwezo mkubwa wa akili
 
Police sio jeshi,Ni kitengo,jeshi Ni jwtz na jkt tu.
Ndio maana jwtz wapo wizara ya ulinzi Wakati polisi wapo wizara ya Mambo ya ndani.

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Polisi Tanzania limekuwa jeshi ambalo linaweza kubambika kesi kwa yeyote wamtakae na lisihojiwe na chombo chochote.

Wameenda mbali wanaua mtu yeyote hasa wafanyabishara endapo wataona ana mali za kumpora,wanamuua na wanamtupa na kuchukua mali zake kwa jeuri kabisa wakijua kabisa kwamba hakuna chombo kingine kinachoweza kupepeleleza jinai zaidi yao.

Polisi Tanzania ni janga kuu,serikali unda chombo kipya kilisimamie jeshi la polisi,hawawezi tena kujisimamia ,wamegeuka laana kwa nchi

Serikali fanyeni haraka tuokoe wananchi dhidi ya wapumbavu hawa!!! Kama mishahara midogo waongezeni.
Hiyo mtasubiri sana watanzania mpaka tuwe na chombo cha kuwasimamia polisi.
Mfumo mzima wa kitawala Tanzania kumbe ni wa hovyo sana toka enzi ya Mwalim Nyerere na Abeid Karume.

Hawa waasisi wetu walivuruga kila kitu kwa Maslahi yao binafsi ya uongozi. Viongozi wengine wote waliofuata mpaka Hayati Magufuli na hivi sasa Samia Suluhu Hassan mtindo ni ule ule tu wa kuangalia wao wanatawala kwa utulivu wakati watanzania wanaumia.
Wanasiasa wanatuhadaa sisi kwa propaganda za amani, umoja na uhuru, wakati vyombo vya dola vikiwakandamiza wananchi kwa kutumia nguvu kubwa za kijeshi.

Hali ya utawala Tanzania bado ni ya kifalme/Ukabaila (Feudalism), hakuna kilicho badilika. Zaidi ya hapo wamauongeza kidogo na U-Socialism na ndiyo kufanya kila kitu kuwa mpese mpese.

Viongozi wetu wanafikiria kwa kufanya hivyo nchi itaendelea kuwa salama na yenye utulivu hata huko mbeleni, hiyo ni illusion.
Kitu ambacho hawakijui ni kwamb, wanalisokota taratibu bomu ambalo likilipuka, litawaathiri vibaya sana vizazi vyao na vizazi vyetu kwa ujumla huko mbeleni. Naona wanajidanganya sana wenyewe.

Kwa hali ya uchumi wa ulimwengu ilivyo hivi sasa na huko tunako kwenda nawasikitikia sana watanzania ambao wanazaliwa leo Tanzania na kukua Tanzania. Maisha yao, kwa kusema ule ukweli, hayana future nzuri unless labda mabadiliko makubwa sana ya kiuchumi yatokee nchini.

Mimi binafsi nasikitika sana jinsi Rais na watendaji wake, kwenye nchi iloyo barikiwa kama Tanzania, wanavyo poteza mda kwa ku-deal na mambo madogo madogo ambayo hayata tusaidia chochote sisi, wakati yale makubwa ya msingi wanaya ignore!
 
Polisi Tanzania limekuwa jeshi ambalo linaweza kubambika kesi kwa yeyote wamtakae na lisihojiwe na chombo chochote.

Wameenda mbali wanaua mtu yeyote hasa wafanyabishara endapo wataona ana mali za kumpora,wanamuua na wanamtupa na kuchukua mali zake kwa jeuri kabisa wakijua kabisa kwamba hakuna chombo kingine kinachoweza kupepeleleza jinai zaidi yao.

Polisi Tanzania ni janga kuu,serikali unda chombo kipya kilisimamie jeshi la polisi,hawawezi tena kujisimamia ,wamegeuka laana kwa nchi

Serikali fanyeni haraka tuokoe wananchi dhidi ya wapumbavu hawa!!! Kama mishahara midogo waongezeni.
Dawa ni kufumua jeshi na kulisuka upya na kuproni wasiofaa wote, hii habari ya kuunda chombo itatulazimu kuunda chombo kingine kukisimamia hicho chombo kinacholisimamia jeshi in other words ni kuweka viraka juu ya viraka badala ya kushona suruali mpya
 
Polisi Tanzania limekuwa jeshi ambalo linaweza kubambika kesi kwa yeyote wamtakae na lisihojiwe na chombo chochote.

Wameenda mbali wanaua mtu yeyote hasa wafanyabishara endapo wataona ana mali za kumpora,wanamuua na wanamtupa na kuchukua mali zake kwa jeuri kabisa wakijua kabisa kwamba hakuna chombo kingine kinachoweza kupepeleleza jinai zaidi yao.

Polisi Tanzania ni janga kuu,serikali unda chombo kipya kilisimamie jeshi la polisi,hawawezi tena kujisimamia ,wamegeuka laana kwa nchi

Serikali fanyeni haraka tuokoe wananchi dhidi ya wapumbavu hawa!!! Kama mishahara midogo waongezeni.
Hapo kwa IGP hamna kitu....Kuna wasomi wenye akili Sana Kama yule alienda Sumatra/latra polisi KAHATANO, sio kina siro wakubumba
 
Polisi Tanzania limekuwa jeshi ambalo linaweza kubambika kesi kwa yeyote wamtakae na lisihojiwe na chombo chochote.

Wameenda mbali wanaua mtu yeyote hasa wafanyabishara endapo wataona ana mali za kumpora,wanamuua na wanamtupa na kuchukua mali zake kwa jeuri kabisa wakijua kabisa kwamba hakuna chombo kingine kinachoweza kupepeleleza jinai zaidi yao.

Polisi Tanzania ni janga kuu,serikali unda chombo kipya kilisimamie jeshi la polisi,hawawezi tena kujisimamia ,wamegeuka laana kwa nchi

Serikali fanyeni haraka tuokoe wananchi dhidi ya wapumbavu hawa!!! Kama mishahara midogo waongezeni.
Mkuu nadhani ni muda mwafaka wa kuunda 'Police Brutality Committee' ili watu wawe wanapeleka malalamiko yao huko kama wametendewa ndivyo sivyo na jeshi la polisi, na hiyo kamati iwe na uwezo wa kupendekeza kushtakiwa au kufukuzwa kazi kwa polisi watakaokiuka maadili ya kazi........
 
Polisi Tanzania limekuwa jeshi ambalo linaweza kubambika kesi kwa yeyote wamtakae na lisihojiwe na chombo chochote.

Wameenda mbali wanaua mtu yeyote hasa wafanyabishara endapo wataona ana mali za kumpora,wanamuua na wanamtupa na kuchukua mali zake kwa jeuri kabisa wakijua kabisa kwamba hakuna chombo kingine kinachoweza kupepeleleza jinai zaidi yao.

Polisi Tanzania ni janga kuu,serikali unda chombo kipya kilisimamie jeshi la polisi,hawawezi tena kujisimamia ,wamegeuka laana kwa nchi

Serikali fanyeni haraka tuokoe wananchi dhidi ya wapumbavu hawa!!! Kama mishahara midogo waongezeni.
Tangu IGP Mangu aondoke kumekuwa na matatizo mengi kwa sababu PGO haifatiliwi tena
 
Polisi Tanzania limekuwa jeshi ambalo linaweza kubambika kesi kwa yeyote wamtakae na lisihojiwe na chombo chochote.

Wameenda mbali wanaua mtu yeyote hasa wafanyabishara endapo wataona ana mali za kumpora,wanamuua na wanamtupa na kuchukua mali zake kwa jeuri kabisa wakijua kabisa kwamba hakuna chombo kingine kinachoweza kupepeleleza jinai zaidi yao.

Polisi Tanzania ni janga kuu,serikali unda chombo kipya kilisimamie jeshi la polisi,hawawezi tena kujisimamia ,wamegeuka laana kwa nchi

Serikali fanyeni haraka tuokoe wananchi dhidi ya wapumbavu hawa!!! Kama mishahara midogo waongezeni.
Kosa kubwa lililofanyika kwa chombo hiki wanasiasa kuliingilia kwa baadhi yao kukutumia kulinda uharamia wao nao wakatumia fursa hiyo hiyo kupora mali za rais na kuua, mkuu ili chombo hiki kitendo haki inatakiwa kisamiwe na mahakama kwa mfano ikitokea yapoalalamikoahaksma inaunda jopo la wapelelezi ili kijiridhisha
Polisi Tanzania limekuwa jeshi ambalo linaweza kubambika kesi kwa yeyote wamtakae na lisihojiwe na chombo chochote.

Wameenda mbali wanaua mtu yeyote hasa wafanyabishara endapo wataona ana mali za kumpora,wanamuua na wanamtupa na kuchukua mali zake kwa jeuri kabisa wakijua kabisa kwamba hakuna chombo kingine kinachoweza kupepeleleza jinai zaidi yao.

Polisi Tanzania ni janga kuu,serikali unda chombo kipya kilisimamie jeshi la polisi,hawawezi tena kujisimamia ,wamegeuka laana kwa nchi

Serikali fanyeni haraka tuokoe wananchi dhidi ya wapumbavu hawa!!! Kama mishahara midogo waongezeni.
 
Mkuu hakuna chombo cho chote kinachoweza kulisimamaia Jeshi la Polisi zaidi ya Jeshi lenyewe.
Bado lile wazo la kulifumua Jeshi la Polisi na kulisuka upya linahitaji kufanyiwa kazi.
 
Wazo zuri lakini CCM hawawezi kukubali. Matatizo yote ya nchi yetu chanzo kikuu ni CCM.
 
Kama katiba haitabadilika na kuondoa kifungu cha kila mtu kushitakiwa akiwemo rais, usitegemee mabadiliko yoyote ya maana kwenye hilo jeshi la polisi. Utawala wa nchi yetu kwa sehemu kubwa kwa sasa unapatikana kwa mahusiano ya kihalifu baina ya chama tawala na vyombo vya dola hasa polisi.

Hivyo kinachofanyika sasa baina ya watawala wa chama tawala na jeshi la polisi ni nilinde kwa mvua, na mimi nikulinde kwa jua. Polisi wanahakikisha watawala wa CCM wanakaa madarakani kwa dhuluma, kisha watawala wakiingia madarakani, wanawaachia polisi nao wavune wapendavyo.
lisi Tanzania limekuwa jeshi ambalo linaweza kubambika kesi kwa yeyote wamtakae na lisihojiwe na chombo chochote.

Back
Top Bottom