Kiungo fundi (Mudathir Yahya) asaini miaka 2 Yanga SC

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Klabu ya Yanga imethibitisha kumuongezea Mkataba wa miaka mow ili 2)kiungo Mudathir Yahya wenye kipengele cha kuongeza.

Mudathir alitua Yanga katika dirisha dogo la Januari mwaka huu na ameonyesha kiwango kikubwa kwenye mechi za mashindano alizocheza mpaka sasa.

 
Huyo ndo mchezaji aliyekomaa na professional. Siyo ujinga wa mla ugali sukari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…