Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

Sasa Mayele si wote tumemuona uwezo wake anazidiwa hadi na wazawa tena wakichezea timu za mikoani huko

Atazidiwa na wozawa wote ila sio Bocco, Mugalu au Kagere.
 
Nilisemea kwa kipindi cha miongo ya karibuni. Lol.

Ukianza kuhesabu umri wako unaanzia mwaka uliozaliwa au utaanzia mwaka ulio vunja ungo?

Kwanini uanzie miaka ya hivi karibuni kudefine mafanikio ya Mabingwa wa Kihistoria?
IMG_0630.jpg
 
Mimi nachofurahi kwamba Sasa ligi yetu Linavutia wachezaji wengi barani afrika

Naam Endelea kumwaga pesa pia boresheni miundombinu kama viwanja aisee

Ikiwezekana mjenge vya kwenu viwanja soka sio olimpiki.

Na wadhamini endeleeni kumwaga pesa ligi yetu ikue zaidi kwa namna Moja au nyingine mnaitangaza nchi na utalii utakuwa
 
Ukianza kuhesabu umri wako unaanzia mwaka uliozaliwa au utaanzia mwaka ulio vunja ungo?

Kwanini uanzie miaka ya hivi karibuni kudefine mafanikio ya Mabingwa wa Kihistoria?View attachment 2292857
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nyie mna mafanikio gani? Wallah umevurugwa wee.
 
Back
Top Bottom