Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,033
- 8,805
Hauna haja ya kumpiga Ban mtu mpumbavu,mkuu Maxence Melo wala usimzingatie huyu kijana ambaye hana akili
Katafute kwanza kazi. Au kazi za sensa zishatoka??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna haja ya kumpiga Ban mtu mpumbavu,mkuu Maxence Melo wala usimzingatie huyu kijana ambaye hana akili
Kazi za sensa bado mkuu......ndio nazisikilizia kama jina langu litatokea kwenye mkeka wa NBSKatafute kwanza kazi. Au kazi za sensa zishatoka??
Tuko wawili...Mkuu, Simba ASIPOCHUKUA KOMBE LA LIGI MSIMU UJAO, NIPIGWE BAN YA MWAKA NZIMA.
Maxence Melo Active Moderator
Uchawi huu hapa [emoji23][emoji23][emoji23]Unatambulishaje nchezaji saa nane usiku kama sio uchawi ni nini
Mashabiki wa simba bhana! 😁😁Tuko wawili...
jamaa zengwe, sasa hivi kajificha wapi sijuiEti My Source In Abidjan Au Alikuwa Na Maana Ya Sauce?, Chupli Chupli Tu Kmmk [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2291003
Yumo National Team ama in mbwera mbwera tuHatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC.
Stephane Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo limevunja rekodi kwa timu ya ndani kununua mchezaji huyo. Kiasi cha Tsh Milion 400 ndicho kilitumika kuipata saini ya kinda hilo linalo tegrmewa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Burkinafaso.
Ilimbukwe Stephane Aziz KI ameamua kujiunga na mabingwa hao akikataa offer mbalimbali ikiwemo ile ya wapinzani wao wa jadi Simba SC.
Stephane Aziz KI amekamilisha kufanyiwa vipimo vya afya siku ya tarehe 14 mchana katika Health Facility maalumu ya wanamichezo inayoitwa “G Medical Center” inayomilikiwa na Boss wa GSM.
Aidha Stephane Aziz KI atajiunga na wachezaji wenzake baadae wiki hii kukamilisha utatu mtakatifu unaoitwa: MOMAKI
Bernard Morrison
Fiston Mayele
Stephane Aziz KI
Mshambuliaji ama kiungo ?Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki alfajiri hii ametambulishwa rasmi kujiunga na mabingwa wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans (Yanga)
Ki Aziz anajiunga Yanga akitokea timu Y Asec Mimosas ya Ivory Coast, na anakuwa ni mchezaji wa tano wa kigeni kusajiliwa na Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa ligi na kwenye mashindano ya kimataifa
Toka Kitambo Nilikuwa Namuwashia Moto Kule Twitter Akanipiga Block...Nikamfata Insta Pelekea Moto ile ile Na Wadau Wengine Kibao...Saiv Naona Kafuta Kila Kitu Kwenye Acc Yake [emoji23][emoji23][emoji23]jamaa zengwe, sasa hivi kajificha wapi sijui
Kule twitter sijaingia nadhani kuna violence anajikuta special sana kwa transfer news....Toka Kitambo Nilikuwa Namuwashia Moto Kule Twitter Akanipiga Block...Nikamfata Insta Pelekea Moto ile ile Na Wadau Wengine Kibao...Saiv Naona Kafuta Kila Kitu Kwenye Acc Yake [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2291799View attachment 2291800
Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC.
Stephane Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo limevunja rekodi kwa timu ya ndani kununua mchezaji huyo. Kiasi cha Tsh Milion 400 ndicho kilitumika kuipata saini ya kinda hilo linalo tegrmewa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Burkinafaso.
Ilimbukwe Stephane Aziz KI ameamua kujiunga na mabingwa hao akikataa offer mbalimbali ikiwemo ile ya wapinzani wao wa jadi Simba SC.
Stephane Aziz KI amekamilisha kufanyiwa vipimo vya afya siku ya tarehe 14 mchana katika Health Facility maalumu ya wanamichezo inayoitwa “G Medical Center” inayomilikiwa na Boss wa GSM.
Aidha Stephane Aziz KI atajiunga na wachezaji wenzake baadae wiki hii kukamilisha utatu mtakatifu unaoitwa: MOMAKI
Bernard Morrison
Fiston Mayele
Stephane Aziz KI
View attachment 2291247@OKW BOBAN SUNZU umeona
Mwaka uliobakwa na kupewa Mimba.Acha ujinga, chama alisajiliwa kwa hizo pesa mwaka gani???
Huna Akili acha Kunipotezea muda.Mkuu dau lililotumika apo ni 660ml. Usipotoshe watu, mshahara atakunja 22ml.kwa mwezi upo apo, labda nikuweke sawa kwa hilo
Sasa km zamani, hata simba ilishawahi kuifunga yanga 6 kwa 0.View attachment 2291167
Umeanza lini binti kushabikia mpira..?
Mpuuzi Tu Yule Jamaa.Kule twitter sijaingia nadhani kuna violence anajikuta special sana kwa transfer news....
ni wa kumpuuziaMpuuzi Tu Yule Jamaa.