Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Karibu bongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha,watamrekebisha ucjalinimejenga hoja ya kidada kwasababu wewe pia nimdada nikujenga hoja ya kiume utaiweza
Hako katoto kenu kakikabwa na Onyango kanaonewa, kakikabwa na Inonga kanaonewa, kakikabwa na Ouattar kanaonewa, itabidi tukatafutie beki mpya wa saizi yake ili kasije kakawa kanalia uwanjani siku ya mechi.Katoto?! Mbona Aliwageuza Geuza Nje Ndani?, Wewe Nishakwambia Lazima Atawapasua Tena Na Mtafungwa Tu.
Sio wachambuzi wote George Ambangile hana huo upuuziView attachment 2290911
Hapa ndio unagundua hawa wachambuzi wanategemea upepo na chuki binafsi tu kupush umaarufu wao.
Hao si ndio walifungwa na rivers nje ndani. Ki ni mchezaji wa kawaida sana, walifungwa 4 hapa taifaHata Mayele alivyokuja tuliyasema hayahaya.
“Kama kweli ni mchezaji mzuri basi angepta timu huko nje, ama sehemu nyingine”
Tumekwisha kalilishwa kuwa wachezaji wazuri ka Shaban Djuma, Diarra, Feisal, Aucho na Mayele hawawezi kucheza Yanga SC.
Tunawaomba tuendelee kuamini hivyo hivyo.
Hakuna aliye amini pia Stephane Aziz Ki anaweza kucheza Yanga SC ndio maana wengi walikesha mpaka saa 9 kuona na kuthibitisha usajili wake.
Ila kuwasha moto katikati ya uwanja ni ibadaUnatambulishaje nchezaji saa nane usiku kama sio uchawi ni nini
Ndio masharti ya mgangaUnatambulishaje nchezaji saa nane usiku kama sio uchawi ni nini
Wananchi Mwaikumbuka ile "Simba Ina Asilimia 70% Kumsajili Aziz Ki, Pyramid Ina Asilimia 25% Kumsajili Aziz Ki, Yanga Ina Asilimia 5% Kumsajili Aziz Ki"....Hii Nchi Ngumu Sana Wazeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao si ndio walifungwa na rivers nje ndani. Ki ni mchezaji wa kawaida sana, walifungwa 4 hapa taifa
Azizi Ki sio striker ni kiungo mshambuliajiHizo stats za huyo mtoto ndio hizo hizo au kuna nyingine mmezisahau mahala?
Mshambuliaji ana magoli 10, na assist 6 = 16, mbona huyu ni level ya G.Mpole kabisa!
Tena Mpole ni zaidi yake kwasababu ana experience na ligi yetu, huyo mtoto mpaka aizoee.
Simba SC inachukua mashine iliyokiwasha kwenye ligi za kibabe, mfano Sudan, na Ghana, tena huko Sudan imekiwasha kwa kuwachezea miamba wote wawili wa nchi hiyo Al Merreikh na Al Hilal.
MIND YOU; tena huyu sio mshambuliaji kama huyo kinda wenu, huyu wa Simba SC ni kiungo/winga, ana migoli na mi - assist kibao mpaka nimeisahau, sorry ngoja nikacheki tena record zangu!
Utopolo mkiamka usingizini, na wala hili sio kosa lenu ni ushamba wenu wa kutambulisha wachezaji wenu mida ya daku hivyo naona bado mmelewa usingizi, mjue huyo Aziz Ki amekuja kushindana na G. Mpole.
Nikimuweka na Phiri hapo nitakuwa nakabemenda hako katoto kenu!
[emoji102] mtani mwiko unao nyuma saaa sisi tuchomoe nn sisi wala hatuahangaiki tunawasubiri kimataifa mnavo kuja pigwa nje ndani''DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO''
Ikiwauma wachomoe....! [emoji23]
Siongei na Kolo kama ww naongea na waliotimiaNi ujinga lkn kuwa na tabia ya kukurupuka kuwasajili wachezaji
[emoji22][emoji22]huoni hata aibuHizo stats za huyo mtoto ndio hizo hizo au kuna nyingine mmezisahau mahala?
Mshambuliaji ana magoli 10, na assist 6 = 16, mbona huyu ni level ya G.Mpole kabisa!
Tena Mpole ni zaidi yake kwasababu ana experience na ligi yetu, huyo mtoto mpaka aizoee.
Simba SC inachukua mashine iliyokiwasha kwenye ligi za kibabe, mfano Sudan, na Ghana, tena huko Sudan imekiwasha kwa kuwachezea miamba wote wawili wa nchi hiyo Al Merreikh na Al Hilal.
MIND YOU; tena huyu sio mshambuliaji kama huyo kinda wenu, huyu wa Simba SC ni kiungo/winga, ana migoli na mi - assist kibao mpaka nimeisahau, sorry ngoja nikacheki tena record zangu!
Utopolo mkiamka usingizini, na wala hili sio kosa lenu ni ushamba wenu wa kutambulisha wachezaji wenu mida ya daku hivyo naona bado mmelewa usingizi, mjue huyo Aziz Ki amekuja kushindana na G. Mpole.
Nikimuweka na Phiri hapo nitakuwa nakabemenda hako katoto kenu!
Azizi Ki sio striker ni kiungo mshambuliaji
Ni mnywaji wa gongo nini mbona mdomo umechubuka?
Hako katoto kenu kakikabwa na Onyango kanaonewa, kakikabwa na Inonga kanaonewa, kakikabwa na Ouattar kanaonewa, itabidi tukatafutie beki mpya wa saizi yake ili kasije kakawa kanalia uwanjani siku ya mechi.
Chambuzi Chupli Chupli..View attachment 2291000
Unaumiaaaaaaa ila kinyooonge kweli [emoji23]Hata Calihnos alipewa sifa hizi za kijinga. Tusubiri uwanjani tutaona. Bigirimana aka storekeeper mgonjwa wa ini. Mpelekeni kwanza India.