Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

Katoto?! Mbona Aliwageuza Geuza Nje Ndani?, Wewe Nishakwambia Lazima Atawapasua Tena Na Mtafungwa Tu.
Hako katoto kenu kakikabwa na Onyango kanaonewa, kakikabwa na Inonga kanaonewa, kakikabwa na Ouattar kanaonewa, itabidi tukatafutie beki mpya wa saizi yake ili kasije kakawa kanalia uwanjani siku ya mechi.
 
Hata Mayele alivyokuja tuliyasema hayahaya.

“Kama kweli ni mchezaji mzuri basi angepta timu huko nje, ama sehemu nyingine”

Tumekwisha kalilishwa kuwa wachezaji wazuri ka Shaban Djuma, Diarra, Feisal, Aucho na Mayele hawawezi kucheza Yanga SC.

Tunawaomba tuendelee kuamini hivyo hivyo.

Hakuna aliye amini pia Stephane Aziz Ki anaweza kucheza Yanga SC ndio maana wengi walikesha mpaka saa 9 kuona na kuthibitisha usajili wake.
Hao si ndio walifungwa na rivers nje ndani. Ki ni mchezaji wa kawaida sana, walifungwa 4 hapa taifa
 
Wananchi Mwaikumbuka ile "Simba Ina Asilimia 70% Kumsajili Aziz Ki, Pyramid Ina Asilimia 25% Kumsajili Aziz Ki, Yanga Ina Asilimia 5% Kumsajili Aziz Ki"....Hii Nchi Ngumu Sana Wazeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wachambuzi bhana[emoji23][emoji23]
 
Hizo stats za huyo mtoto ndio hizo hizo au kuna nyingine mmezisahau mahala?

Mshambuliaji ana magoli 10, na assist 6 = 16, mbona huyu ni level ya G.Mpole kabisa!

Tena Mpole ni zaidi yake kwasababu ana experience na ligi yetu, huyo mtoto mpaka aizoee.

Simba SC inachukua mashine iliyokiwasha kwenye ligi za kibabe, mfano Sudan, na Ghana, tena huko Sudan imekiwasha kwa kuwachezea miamba wote wawili wa nchi hiyo Al Merreikh na Al Hilal.

MIND YOU; tena huyu sio mshambuliaji kama huyo kinda wenu, huyu wa Simba SC ni kiungo/winga, ana migoli na mi - assist kibao mpaka nimeisahau, sorry ngoja nikacheki tena record zangu!

Utopolo mkiamka usingizini, na wala hili sio kosa lenu ni ushamba wenu wa kutambulisha wachezaji wenu mida ya daku hivyo naona bado mmelewa usingizi, mjue huyo Aziz Ki amekuja kushindana na G. Mpole.

Nikimuweka na Phiri hapo nitakuwa nakabemenda hako katoto kenu!
Azizi Ki sio striker ni kiungo mshambuliaji
 
[emoji22][emoji22]huoni hata aibu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Azizi Ki sio striker ni kiungo mshambuliaji

Hawa vijana wanao uza mitumba pale msimbazi huwa hawanaga akili za kutosha.

Miaka yote wanashabikia mpira lakini hawawezi tofautisha Mshambuliaji na Kiungo.

Bure Kabisa [emoji23][emoji23]
 
Hako katoto kenu kakikabwa na Onyango kanaonewa, kakikabwa na Inonga kanaonewa, kakikabwa na Ouattar kanaonewa, itabidi tukatafutie beki mpya wa saizi yake ili kasije kakawa kanalia uwanjani siku ya mechi.

Unamzungumzia Onyango huyu huyu aliyekuwa akipelekewa moto na TK Master?
 
Back
Top Bottom