Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

YAANI KINYOOOOONGEEEE... NI VILE TU UMEZOEA KUBWABWAJA ILA HATA MOYO UMEKUSALITI...
 
Hatimaye yule aliyesubiriwa kwa hamu amefika rasmi....

-Mwamba anaitwa Stephane Aziz Ki 🇧🇫

-Yanga🇹🇿 wamelipa Usd 300,000 (Zaidi ya Tsh Milioni 699) na atakunja Milioni 22 kwa mwezi.

-Msimu uliopita akiwa na Asec Mimosas🇨🇮 katika michezo 28 alihusika katika mabao 16 huku akifunga mabao 10 na kutoa pasi za mwisho 6
 
Hata Calihnos alipewa sifa hizi za kijinga. Tusubiri uwanjani tutaona. Bigirimana aka storekeeper mgonjwa wa ini. Mpelekeni kwanza India.
 
Wananchi Mwaikumbuka ile "Simba Ina Asilimia 70% Kumsajili Aziz Ki, Pyramid Ina Asilimia 25% Kumsajili Aziz Ki, Yanga Ina Asilimia 5% Kumsajili Aziz Ki"....Hii Nchi Ngumu Sana Wazeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mmeshamnunulia nyumba masaki?
anataka na range Rover ya mazoezini.
Mnaoa mke mzuri alafu hata maji ya Moto anashindwa kuchemsha.
 
Chupli Chupli Kibaoo...Na Bado Kudadek!! [emoji23][emoji23]
IMG_20220620_053556.jpg
 
Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC...
Sasa ndo usajili bora huo?
 
Una uhakika Simba walituma offer kwake? Au unajitekenya mwenyewe? Simba walishasema tangu mwanzo huyo dogo hakuwa kwenye mipango yao.
Binafsi nilishangaa, kama ni mchezaji mzuri how comes asipate offer vilabu vikubwa huko?#kuna watu wamekurupuka#Muda utaongea
Kapama na Kiyombo ndiyo walikuwa kwenye mipango
 
Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC...
Kuna majitu yatakufa msimu huu
 
Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC...
Yaani Tsh Milioni 400 ndiyo Dau la Rekodi? Kuna Watu ni Wapumbavu hapa duniani hadi Kero.

Hivi unajua kuwa Simba SC kwa Chama ilitumia zaidi ya Tsh Milioni 400 Kumsajili na kuja Kuichezea?

Achana na huyo Chama wa Timu yangu ya Simba SC hivi unajua kuwa Kiungo Fundi wa Yanga SC na Daktari wa Mpira Khalid Aucho alisajiliwa na Yanga SC kwa kiasi cha karibia Tsh Milioni 450 hadi Tsh Milioni 475?

Hakika nimeamini kuwa aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema ( ipo YouTube ) kuwa Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe wala hakukosea.
 
Ligi kuu Tz bara inazidi kunoga

Kwa wale mnaonesha mpira kwenye vibanda umiza huu ndio mwaka wa kupiga hela.

Nashauri kijana kama una kamtaji fungua kibanda umiza utakuja kunishukuru kwani ligi ya mwaka huu haina tofauti ni EPL.
 
Hizo stats za huyo mtoto ndio hizo hizo au kuna nyingine mmezisahau mahala?

Mshambuliaji ana magoli 10, na assist 6 = 16, mbona huyu ni level ya G.Mpole kabisa!

Tena Mpole ni zaidi yake kwasababu ana experience na ligi yetu, huyo mtoto mpaka aizoee.

Simba SC inachukua mashine iliyokiwasha kwenye ligi za kibabe, mfano Sudan, na Ghana, tena huko Sudan imekiwasha kwa kuwachezea miamba wote wawili wa nchi hiyo Al Merreikh na Al Hilal.

MIND YOU; tena huyu sio mshambuliaji kama huyo kinda wenu, huyu wa Simba SC ni kiungo/winga, ana migoli na mi - assist kibao mpaka nimeisahau, sorry ngoja nikacheki tena record zangu!

Utopolo mkiamka usingizini, na wala hili sio kosa lenu ni ushamba wenu wa kutambulisha wachezaji wenu mida ya daku hivyo naona bado mmelewa usingizi, mjue huyo Aziz Ki amekuja kushindana na G. Mpole.

Nikimuweka na Phiri hapo nitakuwa nakabemenda hako katoto kenu!
 
Hizo stats za huyo mtoto ndio hizo hizo au kuna nyingine mmezisahau mahala?

Mshambuliaji ana magoli 10, na assist 6 = 16, mbona huyu ni level ya G.Mpole kabisa...
Mbona Unamuelezea Sana Vp Kwani?? Kwani Ni Mchezaji Wa Timu Yenu?...Relax!! Kama Kuwapasua Tena Atawapasua Tu Kwenye Hilo Hana Mjadala Na Nyie Na Mechi Mtaishia Kufungwa Tu [emoji23]
 
Back
Top Bottom