Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

Mbona Unamuelezea Sana Vp Kwani?? Kwani Ni Mchezaji Wa Timu Yenu?...Relax!! Kama Kuwapasua Tena Atawapasua Tu Kwenye Hilo Hana Mjadala Na Nyie Na Mechi Mtaishia Kufungwa Tu [emoji23]
Tatizo huruma, sipendi tukabemende hako katoto kenu!
 
Hizo stats za huyo mtoto ndio hizo hizo au kuna nyingine mmezisahau mahala?

Mshambuliaji ana magoli 10, na assist 6 = 16, mbona huyu ni level ya G.Mpole kabisa!

Tena Mpole ni zaidi yake kwasababu ana experience na ligi yetu, huyo mtoto mpaka aizoee.

Simba SC inachukua mashine iliyokiwasha kwenye ligi za kibabe, mfano Sudan, na Ghana, tena huko Sudan imekiwasha kwa kuwachezea miamba wote wawili wa nchi hiyo Al Merreikh na Al Hilal.

Mind you; tena huyu sio mshambuliaji kama huyo kinda wenu, huyu wa Simba SC ni kiungo/winga, ana migoli na mi - assist kibao mpaka nimeisahau, sorry ngoja nikacheki tena record zangu!

Utopolo mkiamka usingizini, na wala hili sio kosa lenu ni ushamba wenu wa kutambulisha wachezaji wenu mida ya daku, naona bado mmelewa usingizi, mjue huyo Aziz Ki amekuja kushindana na G. Mpole.

Nikimuweka na Phiri hapo nitakuwa nakabemenda hako katoto kenu!
Umeongea utafikiri uwanjani unacheza wewe
 
Una uhakika Simba walituma offer kwake? Au unajitekenya mwenyewe? Simba walishasema tangu mwanzo huyo dogo hakuwa kwenye mipango yao.
Binafsi nilishangaa, kama ni mchezaji mzuri how comes asipate offer vilabu vikubwa huko?#kuna watu wamekurupuka#Muda utaongea
yule pimbi wenu alipata ofa gan kubwa huko kwenye vilabu vikubwa,hadi akaamua kuchagua simba?
 
Una uhakika Simba walituma offer kwake? Au unajitekenya mwenyewe? Simba walishasema tangu mwanzo huyo dogo hakuwa kwenye mipango yao.
Binafsi nilishangaa, kama ni mchezaji mzuri how comes asipate offer vilabu vikubwa huko?#kuna watu wamekurupuka#Muda utaongea
CHIKWENDE au sio
 
Hata Calihnos alipewa sifa hizi za kijinga. Tusubiri uwanjani tutaona. Bigirimana aka storekeeper mgonjwa wa ini. Mpelekeni kwanza India.
Mkuu kuna ndugu yako amewahi kuumwa ugonjwa wa INI??

Kwa kifupi ugonjwa huo hauwezi kuishi zaidi ya miaka 2.
 
Yaani Tsh Milioni 400 ndiyo Dau la Rekodi? Kuna Watu ni Wapumbavu hapa duniani hadi Kero.

Hivi unajua kuwa Simba SC kwa Chama ilitumia zaidi ya Tsh Milioni 400 Kumsajili na kuja Kuichezea?

Achana na huyo Chama wa Timu yangu ya Simba SC hivi unajua kuwa Kiungo Fundi wa Yanga SC na Daktari wa Mpira Khalid Aucho alisajiliwa na Yanga SC kwa kiasi cha karibia Tsh Milioni 450 hadi Tsh Milioni 475?

Hakika nimeamini kuwa aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema ( ipo YouTube ) kuwa Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe wala hakukosea.
Acha ujinga, chama alisajiliwa kwa hizo pesa mwaka gani???
 
Simba SC hawaamini macho Yao

Karibu sana Yanga, Stephan Aziz Ki 🤜🤛


 
Chambuzi Chupli Chupli..
IMG_20220715_073841.jpg
 
Haya wale Makolo wakiosema Yanga hatuwezi huu usajili tunahitaji muongeze nyodo zingine..
This is Yanga, ni Dream team kwa Kila Player all over the world [emoji617][emoji617][emoji123][emoji123]
Ni ujinga lkn kuwa na tabia ya kukurupuka kuwasajili wachezaji
 
Usajili mzuri, kazi kwake kuonyesha thamani yake ndani ya uwanja na ajue kuwa mashabiki wa bongo hawana uvumilivu wasipopata walichokitarajia kwake!
 
Eti My Source In Abidjan Au Alikuwa Na Maana Ya Sauce?, Chupli Chupli Tu Kmmk [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20220715_073653.jpg
 
Back
Top Bottom