Hizo stats za huyo mtoto ndio hizo hizo au kuna nyingine mmezisahau mahala?
Mshambuliaji ana magoli 10, na assist 6 = 16, mbona huyu ni level ya G.Mpole kabisa!
Tena Mpole ni zaidi yake kwasababu ana experience na ligi yetu, huyo mtoto mpaka aizoee.
Simba SC inachukua mashine iliyokiwasha kwenye ligi za kibabe, mfano Sudan, na Ghana, tena huko Sudan imekiwasha kwa kuwachezea miamba wote wawili wa nchi hiyo Al Merreikh na Al Hilal.
Mind you; tena huyu sio mshambuliaji kama huyo kinda wenu, huyu wa Simba SC ni kiungo/winga, ana migoli na mi - assist kibao mpaka nimeisahau, sorry ngoja nikacheki tena record zangu!
Utopolo mkiamka usingizini, na wala hili sio kosa lenu ni ushamba wenu wa kutambulisha wachezaji wenu mida ya daku, naona bado mmelewa usingizi, mjue huyo Aziz Ki amekuja kushindana na G. Mpole.
Nikimuweka na Phiri hapo nitakuwa nakabemenda hako katoto kenu!