Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

Unatambulishaje nchezaji saa nane usiku kama sio uchawi ni nini
Uchawi huu hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
images%20(15).jpg
 
Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC.

Stephane Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo limevunja rekodi kwa timu ya ndani kununua mchezaji huyo. Kiasi cha Tsh Milion 400 ndicho kilitumika kuipata saini ya kinda hilo linalo tegrmewa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Burkinafaso.

Ilimbukwe Stephane Aziz KI ameamua kujiunga na mabingwa hao akikataa offer mbalimbali ikiwemo ile ya wapinzani wao wa jadi Simba SC.

Stephane Aziz KI amekamilisha kufanyiwa vipimo vya afya siku ya tarehe 14 mchana katika Health Facility maalumu ya wanamichezo inayoitwa “G Medical Center” inayomilikiwa na Boss wa GSM.

Aidha Stephane Aziz KI atajiunga na wachezaji wenzake baadae wiki hii kukamilisha utatu mtakatifu unaoitwa: MOMAKI

Bernard Morrison
Fiston Mayele
Stephane Aziz KI

Yumo National Team ama in mbwera mbwera tu
 
Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki alfajiri hii ametambulishwa rasmi kujiunga na mabingwa wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans (Yanga)

Ki Aziz anajiunga Yanga akitokea timu Y Asec Mimosas ya Ivory Coast, na anakuwa ni mchezaji wa tano wa kigeni kusajiliwa na Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa ligi na kwenye mashindano ya kimataifa
Mshambuliaji ama kiungo ?
 
Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC.

Stephane Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo limevunja rekodi kwa timu ya ndani kununua mchezaji huyo. Kiasi cha Tsh Milion 400 ndicho kilitumika kuipata saini ya kinda hilo linalo tegrmewa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Burkinafaso.

Ilimbukwe Stephane Aziz KI ameamua kujiunga na mabingwa hao akikataa offer mbalimbali ikiwemo ile ya wapinzani wao wa jadi Simba SC.

Stephane Aziz KI amekamilisha kufanyiwa vipimo vya afya siku ya tarehe 14 mchana katika Health Facility maalumu ya wanamichezo inayoitwa “G Medical Center” inayomilikiwa na Boss wa GSM.

Aidha Stephane Aziz KI atajiunga na wachezaji wenzake baadae wiki hii kukamilisha utatu mtakatifu unaoitwa: MOMAKI

Bernard Morrison
Fiston Mayele
Stephane Aziz KI

View attachment 2291247@OKW BOBAN SUNZU umeona​
 
Sasa km zamani, hata simba ilishawahi kuifunga yanga 6 kwa 0.

Na tunaongelea wakati huu, kwann ujitoe ufahamu??

Hapo awali ulisema Yanga haijawahi kuofunga Simba SC goli zaidi ya 2.

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom