Kiungo wa Real Madrid, Casemiro akubali kwenda Man United kwa Paundi Milioni 60

Kiungo wa Real Madrid, Casemiro akubali kwenda Man United kwa Paundi Milioni 60

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
1660890601285.png

Manchester United imekubali kutoa Paundi Milioni 60 (Tsh. Bilioni 167) kwa ajili ya kumsajili kiungo mkabaji wa Real Madrid, Casemiro baada ya klabu hizo kufanya mazungumzo kwa siku kadhaa.

Inaelezwa kuwa Mbrazili huyo anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya wikiendi hii na kila kitu kikienda vizuri atasaini mkataba wa miaka minne kuichezea #ManUnited.

Casemiro alimwambia Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti kuwa amekubali kujiunga na United baada ya kujulishwa kuhusu ofa hiyo kisha kuambiwa achegue kuendelea kubaki au kuondoka.
----

Manchester United AGREE £60m deal to sign Casemiro from Real Madrid on a four-year contract, with Brazilian's medical to take place over the weekend as Erik ten Hag's search for a defensive midfielder FINALLY nears an end

Manchester United have agreed a £60million deal for Real Madrid midfielder Casemiro after a breakthrough in talks.

A medical is scheduled for the weekend and the Brazil international will sign a four-year contract at Old Trafford, with the option of a further year.

Casemiro told coach Carlo Ancelotti of his decision to join United as the two met for talks on Wednesday evening after the 30-year-old was informed by Madrid president Florentino Perez that he could choose whether he wished to stay or go.

Ancelotti values Casemiro highly and is loath to see him go as he has been instrumental to Madrid's tactical set-up, winning 18 titles during his nine seasons there.


Source: DailyMail
 
Kila mchezaji man u inamtaka, yaani ni shida tupu. Mwisho wa siku hakuna mchezaji wa maana atakayesajiliwa
 
Wachezaji wananunuliwa bei ghali sana ss hv yan huyu 60mil na majeruh yanavyomuandama duh
 
Kwangu mi naona sio chaguo sahihi kwa sasa, United ni ile ile...
 
Varane amekuwa ball boycott pale mancunian United ila casemiro kaona mbali maana real Madrid ndo team duniani inayoacha wachezaji wao kwa fedheha sana.
 
Wachezaji waliopo hawana quality, spirit na jihad kwa timu wanayoichezea!

Van de sar
Wes brown
Rio Ferdinand
Patrice Evra
Roy Keane
Ryan Giggs
David Beckham
CR7
Michael Carrick
Paul Scholes
Rooney
Fletcher
Rud Van
Saha
Anderson
Valencia
Ji Sung Park
Robin
Yule beki wa kati pale akiitwa nani sikumbuki, akicheza na Rio.
Wale watoto wa kiBrazil mabeki
Quinton Fortune
Yule mreno mswahili, chenga nyingi
Tevez
Yule mzee aliyesajiliwa kwa dharula!
Akaja Michael Owen, akawaweka City

Pique, Pogba, hawa wakiwa reject pale United

Ile spirit ya hao viumbe kipindi kile ilikuwa ikitokea wapi hata sasa haipo?
 
Wachezaji waliopo hawana quality, spirit na jihad kwa timu wanayoichezea!

Van de sar
Wes brown
Rio Ferdinand
Patrice Evra
Roy Keane
Ryan Giggs
David Beckham
CR7
Michael Carrick
Paul Scholes
Rooney
Fletcher
Rud Van
Saha
Anderson
Valencia
Ji Sung Park
Robin
Yule beki wa kati pale akiitwa nani sikumbuki, akicheza na Rio.
Wale watoto wa kiBrazil mabeki
Quinton Fortune
Yule mreno mswahili, chenga nyingi
Tevez
Yule mzee aliyesajiliwa kwa dharula!
Akaja Michael Owen, akawaweka City

Pique, Pogba, hawa wakiwa reject pale United

Ile spirit ya hao viumbe kipindi kile ilikuwa ikitokea wapi hata sasa haipo?
Beki wa Kati ni VIdic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom