JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Manchester United imekubali kutoa Paundi Milioni 60 (Tsh. Bilioni 167) kwa ajili ya kumsajili kiungo mkabaji wa Real Madrid, Casemiro baada ya klabu hizo kufanya mazungumzo kwa siku kadhaa.
Inaelezwa kuwa Mbrazili huyo anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya wikiendi hii na kila kitu kikienda vizuri atasaini mkataba wa miaka minne kuichezea #ManUnited.
Casemiro alimwambia Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti kuwa amekubali kujiunga na United baada ya kujulishwa kuhusu ofa hiyo kisha kuambiwa achegue kuendelea kubaki au kuondoka.
----
Manchester United AGREE £60m deal to sign Casemiro from Real Madrid on a four-year contract, with Brazilian's medical to take place over the weekend as Erik ten Hag's search for a defensive midfielder FINALLY nears an end
Manchester United have agreed a £60million deal for Real Madrid midfielder Casemiro after a breakthrough in talks.
A medical is scheduled for the weekend and the Brazil international will sign a four-year contract at Old Trafford, with the option of a further year.
Casemiro told coach Carlo Ancelotti of his decision to join United as the two met for talks on Wednesday evening after the 30-year-old was informed by Madrid president Florentino Perez that he could choose whether he wished to stay or go.
Ancelotti values Casemiro highly and is loath to see him go as he has been instrumental to Madrid's tactical set-up, winning 18 titles during his nine seasons there.
Source: DailyMail