Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

Kukamatwa siyo askari tu hata raia anaruhusiwa kukukamata ikiwa utatenda uhalifu
Kuhojiwa utahojiwa na askari wa cheo chochote kwa mujibu wa kifungu cha 10 CPA cap 20 RE 2022.
Kwamantiki, kama viongozi wa kitaifa watatenda makosa,Sheria itafanya kazi pasipo kujali cheo Wala wadhifa wa mtu yeyote, je mtikila alipata wapi ujasiri wa kusema aliyo yasema, au anacheo ambacho raia tulikuwa hatukijui?
 
Kukamata siyo lazima kutumia nguvu askari haruhusiwi kutumia nguvu wakati wa kukamata ikiwa hakuna resistance yoyote kwa Mtikila ilikua wanaweza tu hata kumuita kituo cha polisi na akaenda mwenyewe, nguvu inatumika pale tu muhalifu anapokataa kutii amri ya kukamatwa na nguvu yenyewe iwe na uwiano
 
raraa reree mtu wa system msaada wako tafadhali.
Kwakweli tuitane tuje tupeane madini maana napata wasiwasi Hawa tunao waita viongozi wa kitaifa wasije wakawa wanavyeo ambavyo vinawapa immunity ya kusema chochote tukisema sisi walala hoi humalizi hata dk mbili hauonekani
 
Ukiisikiliza sauti katika video Kuna maneno mchungaji anayasema, Kwa cheo chako huna mamlaka ya kunikamata, akisisitiza Kwani we hujui?

View attachment 3084950
Hili sakata nalikumbuka vizuri sana kwani nilikuwepo hapo, huyo Koplo wa polisi alidhalilika sana kwani mwishowe Mtikila alimwambi wewe kazi yako ni kukamata vibaka kule barabarani, na hata boss wenu Said Mwema akinihitaji ananipigia simu nakwenda mwenyewe au ananiletea usafiri wa hadhi yangu, masikini yule njagu aliondoka kwa aibu huku watu wakimzomea.
 
Kiongozi wa kitaifa anapaswa kufanyiwa arresting na Police officer sio askari wa polisi. Labda kwa makosa yale tu ambayo unaweza kuyaweka sehemu ya dharula. Maana kuna makosa mtu akitenda hata raia wa kawaida anaweza kumdaka na kumpeleka kituoni bila kujali wadhifa wa mtu. Mfano: ukimkuta mtu anaua na una uwezo wa kumshika utamshika au utakwenda police kuwapa taarifa?
Polisi wanajua Sheria ila huzipuuza wakidhani kuwa wananchi hawazijui
 
Kukamata siyo lazima kutumia nguvu askari haruhusiwi kutumia nguvu wakati wa kukamata ikiwa hakuna resistance yoyote kwa Mtikila ilikua wanaweza tu hata kumuita kituo cha polisi na akaenda mwenyewe, nguvu inatumika pale tu muhalifu anapokataa kutii amri ya kukamatwa na nguvu yenyewe iwe na uwiano
Mkuu haya mambo Huwa yanafikirisha Sana, inawezekana ikawa uko sahihi kwamba anaweza akaitwa akaenda lakini wakati mwingine wanaitwa na hawaendi mfano TUNDU LISU juzi tu aliitwa na akasema haendi
 
Back
Top Bottom