Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani kimasihara Trump anaondoka ikulu tayari Jerry Nadler ameshawasilisha articles mbili za impeachment pia waziri wa Mambo ya nje wa urusi ivan ravlov ameenda kuokoa jahazi.
Je ya Richard Nixon yatajirudia?
Democrats wameamua kumng'oa trump wanamshtaki Trump kwa Mambo mawili
1.Kutumia mamlaka vibaya (abuse of power)
2.Kuingilia Uhuru na mamlaka ya bunge //Congress obstruction.
Yetu macho huo ndio Uhuru na demokrasia ya kweli !!
Hapa Tanzania Spika wa Bunge hamwachi Rais wetu alale usingizi. Kila mara anamsumbua ili amwelekeze ni namna gani yeye Spika aliongoze Bunge..1.Kutumia mamlaka vibaya (abuse of power)
2.Kuingilia Uhuru na mamlaka ya bunge //Congress obstruction.
[emoji115][emoji115]this will never happen in Africa
Mwaka 2700 yatawezekana1.Kutumia mamlaka vibaya (abuse of power)
2.Kuingilia Uhuru na mamlaka ya bunge //Congress obstruction.
[emoji115][emoji115]this will never happen in Africa
Alichoandika mayalla kina ukweli flani tujifunze kuvumiliana hatuwezi kufikiri kumoja haiwezekani na haitawezekana tukosoane kistaarabu pale ambapo hatutakiwi kutumia nguvu.Ulianza kuongea vzr lkn huku mwishoni kuhusu magufuli ukaongea ujinga sana hata sikutegemea kama ungeweza kuongea hivyo, yani nikazani umetoa maneno kwa lusinde au bashite
Usidanganyike. Ongea na Wamarekani. Utakachogundua Wamarekani wengi wanampenda Trump kutokana na yeye kuujenga uchumi wa Marekani.Hakustahili kuwepo pale alipo, Wamarekani hawamkubali yule jamaa na hata akipokonywa kiti kitachofuata ni shangwe tu kwa Wamarekani
Hapana msitake aandike kinacho wafurahisha tu.Huyo p mayalla hana tofauti na yule mfungwa wa mbeya aliyekataa kutoka jela p mayalla anaiona Lumumba kama altare ya bwana inayoweza kugeuza mkate kuwa mwili na divai kuwa damu maisha yaende tu
Alichoandika mayalla kina ukweli flani tujifunze kuvumiliana hatuwezi kufikiri kumoja haiwezekani na haitawezekana tukosoane kistaarabu pale ambapo hatutakiwi kutumia nguvu.
Spika wetu hafai hata ujumbe wa mtaa basi tu ni Zari za lina lilimwangukia kiainaHapa Tanzania Spika wa Bunge hamwachi Rais wetu alale usingizi. Kila mara anamsumbua ili amwelekeze ni namna gani yeye Spika aliongoze Bunge..
Mkuu ndio mawazo yake hivyo ndio fikra yake tuvumiliane tu ndio uungwanaMstarabu hajawahi kuandika upuuzi hata siku moja
Ni kama mambo anayoyafanya Magufuli wetu, anakanyaga katiba, anaminya demokrasia kiaina, freedom of speech, freedom of expression, freedom of association, freedom of movement, freedom of the press, some civil
rights na political rights, mashakani, sasa ndio tunaelekea 2020 October na kuirejesha Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja, kikatiba, kisheria, kikanuni na kiutaratibu, ilipaswa Magufuli awe amewekwa pembeni tangu pale alipozuia mikutano ya siasa, kitu ambacho katiba imeruhusu, rais wetu ameapa kuilinda, halafu amepata wapi mamlaka ya kuja kuikiuka?.
P
basi tukuamini wewe!Trump haendi popote.. usiamini sana CNN, MSNBC na ABCNews..
. Mzee Mwanakijiji. Huyu mzee kwasasa haaminiki tena hekima ilishapoteabasi tukuamini wewe!
Trump amenyanyua sana uchumi wa Marekani, hakuna wakumtoa, ndio rais anaeongoza kwa kutengeneza ajira nyingi, hizo nyingine ni propaganda tu za vyombo vya habari