Kiutaniutani Trump anaondoka White House

Unadhani marekani ni kama nchi zenu za kipumbavu ambapo Rais akiamka anaamua lolote tu!

Kwa marekani, mapenzi ya jinsia moja sio takwa la Rais wala Rais hana mamlaka ya kuamua kuruhusu ushoga ama kupinga ushoga!

Swala la mapenzi ya jinsia moja lilishaamuliwa na mahakama baada ya milolongo mirefu ya kesi nyingi toka miaka ya 1800's huko. Wakati huo Tanganyika haipo hata katika ramani ya dunia!

Kwahiyo madai yako kuhusu ushoga na arbotion ni potofu na hayana uhalisia.

Donald Trump anang'olewa katika misingi ya misuguano ya kisiasa tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 





Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huyo waziri siyo Ivan acha kutuzuga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paschal, huko kupay the price ndipo ulipoharibu! Yani wazazi,ndugu na jamaa wa Azory,Ben na wengineo waumie kwa kuwapoteza ndugu zao alafu wewe unaongea simple sana tu!

Utakapopotelewa na ndugu yako wa karibu utanielewa vizuri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka hapa wakati unaandika kuna kinywaji ulikuwa unagoea eee maana si kwa mtiririko huu.
 
Dah hapa naona umegeuka Marvin Gaye unamtomasa mtu na lets get it on....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni ndoto za alinacha . Seneti bado ina nguvu ya kumlinda Rais Trump kwasababu seneti ndio yenye maamuzi ya mwisho. Bunge limetawaliwa na democrats na seneti imetawaliwa na Republican. Republican ndio Wana last say juu ya impeachment wakiikataa basi imeshindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijua tu huwezi kumaliza bila kumtaja Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Impeachment doesn't mean removal from office.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…