Kiwanda cha biskuti za bangi chagunduliwa Kawe

bange ina matumizi mengi sana ikihalalishwa watu wengi watakuwa huru kiuchumi na hawatatawalika!
 
Kuna dogo mmoja yeye ni pusher wa skanka,yeye kuanzia saa sita mpaka usiku wa manage ana supply hyo kitu
Kwa wateja wake
Wengi wao madem tena wengine wakali....na wengine wana professional zao .....muda wote yuko na bodaboda kama kishada

Ova
Niunganishe na uyo dogo
 
Ndy wamejuwa leo mbona hizi kashata kitambo tu wadada wanakula

Ova
Back 2020 maeneo hayo hayo ya ufukweni, inauzwa pembeni ya kituo cha polisi. Na jamaa kila week wanapita kuchukua chao. Wale wasiokua na konection wanachukuliwa korokoroni. Kesho wako mtaani kazi inaendelea ilipoishia....nilishangaa watu baada ya hili tukio ndio wanajua hizo kashata na biskuti daaah

Ova
 
Nashangaa mpaka sasahivi hawana branch Arusha
 
Ndio mkuu
Sahivi zitakua hadimu, supplier si ndio hivo makwaya tyarii....hvi hyo nyumba si inataifishwa ambaoo ndio hiko kiwanda??? Kama vile wakikamata kwenye gari, wanachkua gari.....hapo ndo hvo?
 
Ipi Sere lager ama kili? Iwe inataka kuganda hivi, sema vtambi vinakua haraka sana kwa njia hii
Safari ndo beer yangu pendwa. Ukiendekeza beer kitambi lazima, halafu beer mshkaji wake nyama..tatizo lipo hqpo.
 
Safari ndo beer yangu pendwa. Ukiendekeza beer kitambi lazima, halafu beer mshkaji wake nyama..tatizo lipo hqpo.
Nashukuru mungu kushindwa digest hizo purines, ile gauti sijui miguu kuvimba nilionaga jamaa miguu ilivo weeeee hatari sana starehe garama kweli
 
Bange Industries Limited
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…