Kiwanda cha biskuti za bangi chagunduliwa Kawe

Sawa mkuu...
Shukrani
Screenshot_20231109-025026.jpg
 
Hizo biscuits inaonekana zinatengenezwa in small scale sio production kubwa kutokana na maelezo ..na walengwa watakuwa special market. Serikali ifanye uchunguzi pia kwa watengenezaji wa keki maana zinaweza zikawepo keki za madawa ya kulevya kama cocaine etc..
Hasa hizi za Happy birthday
 
Lazima ushangae kwasababu umekua brainwashed kuhusu huu mmea ( bangi )
Hahaha..kivipi mkuu?

Hadi umri huu situmii na sijawahi kutumia pombe, sigara au bangi .

Ukiachilia tu trace amount ya alcohol kwenye dawa labda za hospital nayo ni acceptable level .

Sasa huo uzuri wa hivyo vitu ni upi labda unieleze.

Nachofahamu tu tofauti ya bangi na sigara ni , Nicotine is more dangerous kuliko tetrahydrocannabinol 9 inayopatikana kwenye bangi.
 
Soma kwa undani structure ya bangi,,

Hapo utafahamu kila kitu mkuu..
 
Kuna kitu nimekigundua zama hizi tuendako wadada wataongoza kwa kunywa na kuvuta bangi na sigara kuliko wanaume.

Kuna siku nilishangaa dada mmoja advocate mzima smart kabisa kimuonekano watoto wa mjini wanaita pisi kali anavuta bangi baada ya kutembelea maeneo ya kwake ghafla nilishangaa sana.
Kuna dogo mmoja yeye ni pusher wa skanka,yeye kuanzia saa sita mpaka usiku wa manage ana supply hyo kitu
Kwa wateja wake
Wengi wao madem tena wengine wakali....na wengine wana professional zao .....muda wote yuko na bodaboda kama kishada

Ova
 
Hahaha..kivipi mkuu?

Hadi umri huu situmii na sijawahi kutumia pombe, sigara au bangi .

Ukiachilia tu trace amount ya alcohol kwenye dawa labda za hospital nayo ni acceptable level .

Sasa huo uzuri wa hivyo vitu ni upi labda unieleze.

Nachofahamu tu tofauti ya bangi na sigara ni , Nicotine is more dangerous kuliko tetrahydrocannabinol 9 inayopatikana kwenye bangi.
Unaweza pia ukaja itumia bangi kama tiba pia....

Bangi iko schedule I kwa mujibu wa mgawanyo wa dawa zenye kuleta uraibu kwa kiwango kikubwa hadi kidogo.

Kundi hilo lina bidhaa zisizo na matumizi ya tiba , japo mimi niliwahi kuambiwa bibi na babu zetu baadhi walijua kuiandaa bangi katika namna ya kuchukua sehemu fulani ya mmea na kuna namna waliandaa kupata dawa ila sio mmea mzima (jani) ambalo lina Tetrahydrocannabinol 9 ambayo ndio inaleta hiyo wanaita steam.
 
Kuna dogo mmoja yeye ni pusher wa skanka,yeye kuanzia saa sita mpaka usiku wa manage ana supply hyo kitu
Kwa wateja wake
Wengi wao madem tena wengine wakali....na wengine wana professional zao .....muda wote yuko na bodaboda kama kishada

Ova
Asee....
 
Back
Top Bottom